Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Ratiba Ya CAF Zawabana SIMBA, YANGA,AZAM Na COASTAL Usajili Wao
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CAF Imeonesha kalenda ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, huku ikionekana kuwa ratiba ya msimu huu imebana, hivyo muda uliopo ni mchache sana kwa usajili.

Tanzania imefanikiwa kupata nafasi ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya Kimataifa, Yanga SC, Azam FC watakipiga Ligi ya Mabingwa, huku Simba SC na Coastal Unioni kukipiga Shirikisho.

Kwa mujibu ya ratiba ya CAF inaonesha mchakato wa kuanzia mwanzo wa mashindano hayo hadi siku ya fainali ya msimu wa 2024/2025, inaonyesha kuwa hatua ya awali mechi zake zitaanza Agosti 16 na 18, huku hatua ya makundi ikitarajiwa kupigwa Oktoba hadi Desemba 2024.

Ratiba hiyo inaonyesha kuwa fainali italazimika kuwa Mei mwaka 2025 mfumo ukiwa uleule wa nyumbani na ugenini.

Hii ina maana kuwa timu za Azam na Coastal Union ambazo zinaonekana kuwa zitaanzia hatua ya awali zinatakiwa kuhakikisha zimekamilisha usajili wake hadi Julai 20, huku zile za Simba na Yanga ambazo zitacheza hatua ya kwanza zikipewa kutoka Julai 21 hadi Agosti 31 kuwa siku ya mwisho ya kuwasilisha usajili wake Caf.

[QUOTE="Kijiweni, post: 4846, member: 476"] CAF Imeonesha kalenda ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, huku ikionekana kuwa ratiba ya msimu huu imebana, hivyo muda uliopo ni mchache sana kwa usajili. Tanzania imefanikiwa kupata nafasi ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya Kimataifa, Yanga SC, Azam FC watakipiga Ligi ya Mabingwa, huku Simba SC na Coastal Unioni kukipiga Shirikisho. Kwa mujibu ya ratiba ya CAF inaonesha mchakato wa kuanzia mwanzo wa mashindano hayo hadi siku ya fainali ya msimu wa 2024/2025, inaonyesha kuwa hatua ya awali mechi zake zitaanza Agosti 16 na 18, huku hatua ya makundi ikitarajiwa kupigwa Oktoba hadi Desemba 2024. Ratiba hiyo inaonyesha kuwa fainali italazimika kuwa Mei mwaka 2025 mfumo ukiwa uleule wa nyumbani na ugenini. Hii ina maana kuwa timu za Azam na Coastal Union ambazo zinaonekana kuwa zitaanzia hatua ya awali zinatakiwa kuhakikisha zimekamilisha usajili wake hadi Julai 20, huku zile za Simba na Yanga ambazo zitacheza hatua ya kwanza zikipewa kutoka Julai 21 hadi Agosti 31 kuwa siku ya mwisho ya kuwasilisha usajili wake Caf. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Ratiba Ya CAF Zawabana SIMBA, YANGA,AZAM Na COASTAL Usajili Wao
Top
Bottom