Ratiba ya Manchester united kuanzia Januari 10 mpaka mwisho wa msimu.

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
1667593635917.png

Ni Kutokana na Manchester United kutokuwa vinara wa ligii, na kunawapa ugumu Ligi kuu ya Uingereza kupata muda mzuri wa kupanga michezo yao miwili iliyoahirishwa dhidi ya Crystal Palace na Leeds United kutokana na ufinyu wa ratiba.