Real Madrid

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amethibitisha kuwa mchezaji wao Gareth Bale ataondoka klabuni hapo ifikapo mwishoni mwa msimu huu
Bale amekuwa akikumbwa na majeraha ambayo yamemfanya ashindwe kuitumikia timu hiyo kwa muda mrefu.
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, nyasi na maandishi yanayosema 'LaLig adidas Emirates FLY BETTEK'