RINALDO NI DHAIFU

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Ronaldo kwenda kucheza Saudi ni ishara ya Uoga na Wivu mkubwa dhidi ya Mkubwa wake Messi, Robaldo aliwahi mdhihaki Xavi kipindi yupo Qatar akasema Amefata pesa na kamwe hatokaa afanye hivyo, je yeye amefata mafuta?EFF5E649-466D-4A41-922F-3FF567E7798C.jpeg