Robert Lewandowski Tulimdhulumu Tuzo Yake Ya Balloon D'or..!

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Achana Na zile Kesi Za Kina Adreas Iniesta “Rujan",Xavi Hernandez, Wesley Sneijer Au Thierry Henry Vavavooom Ila Kama Utakufa Bila Kutubu Kwa Mungu,Tulimdhulumu Lewandowski Tuzo Yake Basi Mbingu Utaisikia Tu..!

Lewandowski Chini Ya Jua Anakaa Daraja Moja Na Straika Yeyote Aliyewahi Kutokea Kwenye Hii Dunia.

Ni Vile Dunia Haina Usawa Ila Kwenye Kabati La Tuzo Za Lewandowski Ilibidi Iwepo Balloon D'or,Usisahau Kutubu Hii Dhambi Kabla Hujafa Utakuja Kunishukuru Tukiwa Mbinguni 🤓
 
Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27

Kumbe mafans wa Messi mnakuaga wakweli mara moja moja:D:D:D
 
jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Achana Na zile Kesi Za Kina Adreas Iniesta “Rujan",Xavi Hernandez, Wesley Sneijer Au Thierry Henry Vavavooom Ila Kama Utakufa Bila Kutubu Kwa Mungu,Tulimdhulumu Lewandowski Tuzo Yake Basi Mbingu Utaisikia Tu..!

Lewandowski Chini Ya Jua Anakaa Daraja Moja Na Straika Yeyote Aliyewahi Kutokea Kwenye Hii Dunia.

Ni Vile Dunia Haina Usawa Ila Kwenye Kabati La Tuzo Za Lewandowski Ilibidi Iwepo Balloon D'or,Usisahau Kutubu Hii Dhambi Kabla Hujafa Utakuja Kunishukuru Tukiwa Mbinguni 🤓
Huyu jamaaa na umri umemuenda inaumiza kinoma
 
  • Like
Reactions: ChichaMandi

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Achana Na zile Kesi Za Kina Adreas Iniesta “Rujan",Xavi Hernandez, Wesley Sneijer Au Thierry Henry Vavavooom Ila Kama Utakufa Bila Kutubu Kwa Mungu,Tulimdhulumu Lewandowski Tuzo Yake Basi Mbingu Utaisikia Tu..!

Lewandowski Chini Ya Jua Anakaa Daraja Moja Na Straika Yeyote Aliyewahi Kutokea Kwenye Hii Dunia.

Ni Vile Dunia Haina Usawa Ila Kwenye Kabati La Tuzo Za Lewandowski Ilibidi Iwepo Balloon D'or,Usisahau Kutubu Hii Dhambi Kabla Hujafa Utakuja Kunishukuru Tukiwa Mbinguni 🤓
Mbona kama laan:LOL::LOL: