Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Roberto Firmino kuondoka Liverpool baada ya miaka minane mwishoni mwa msimu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Fowadi wa Brazil Roberto Firmino ataondoka Liverpool mkataba wake utakapokamilika mwishoni mwa msimu.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amekuwa na Liverpool tangu ajiunge nao kwa mkataba wa £29m kutoka Hoffenheim mnamo Juni 2015.

Firmino ameisaidia Liverpool kushinda Ligi ya Mabingwa, Ligi ya Premia, Kombe la FA, Kombe la EFL na Kombe la Dunia la Klabu wakati alipokuwa Anfield.

Ameichezea Liverpool mechi 353, akifunga mabao 107 na kutoa asisti 70.

Habari za Liverpool na maoni ya mashabiki katika sehemu moja

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp alikuwa amesema anataka Firmino abaki na klabu hiyo na wakati mchezaji huyo alikuwa kwenye majadiliano kuhusu mkataba mpya amechagua kuhama.

Muda wa kucheza wa Mbrazil huyo umekuwa mdogo hivi karibuni kutokana na majeraha ya misuli na kuwasili kwa Diogo Jota, Luis Diaz, Darwin Nunez na Cody Gakpo.

Firmino, ambaye anaheshimiwa sana na mashabiki wa Liverpool alicheza katikati ya washambuliaji watatu wa Liverpool - akiongozwa na Mohamed Salah na Sadio Mane ambaye aliihama klabu hiyo na kujiunga na Bayern Munich mwaka jana.

Kwa pamoja waliisaidia Liverpool kubeba taji lao la kwanza la ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka 30 waliposhinda Ligi ya Premia msimu wa 2019-2020.

Firmino amecheza mechi 26 katika mashindano yote msimu huu, akifunga mabao tisa na kutoa asisti nne.

Alikosa kikosi cha Brazil kwa Kombe la Dunia mwaka jana na Ligi ya Premia iliporejea baada ya michuano hiyo, aliuguza majeraha kabla ya kurejea kama mchezaji wa akiba katika ushindi wa derby dhidi ya Everton mnamo 13 Februari.

[ATTACH=full]1343[/ATTACH]

[QUOTE="Nabi, post: 3510, member: 473"] Fowadi wa Brazil Roberto Firmino ataondoka Liverpool mkataba wake utakapokamilika mwishoni mwa msimu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amekuwa na Liverpool tangu ajiunge nao kwa mkataba wa £29m kutoka Hoffenheim mnamo Juni 2015. Firmino ameisaidia Liverpool kushinda Ligi ya Mabingwa, Ligi ya Premia, Kombe la FA, Kombe la EFL na Kombe la Dunia la Klabu wakati alipokuwa Anfield. Ameichezea Liverpool mechi 353, akifunga mabao 107 na kutoa asisti 70. Habari za Liverpool na maoni ya mashabiki katika sehemu moja Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp alikuwa amesema anataka Firmino abaki na klabu hiyo na wakati mchezaji huyo alikuwa kwenye majadiliano kuhusu mkataba mpya amechagua kuhama. Muda wa kucheza wa Mbrazil huyo umekuwa mdogo hivi karibuni kutokana na majeraha ya misuli na kuwasili kwa Diogo Jota, Luis Diaz, Darwin Nunez na Cody Gakpo. Firmino, ambaye anaheshimiwa sana na mashabiki wa Liverpool alicheza katikati ya washambuliaji watatu wa Liverpool - akiongozwa na Mohamed Salah na Sadio Mane ambaye aliihama klabu hiyo na kujiunga na Bayern Munich mwaka jana. Kwa pamoja waliisaidia Liverpool kubeba taji lao la kwanza la ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka 30 waliposhinda Ligi ya Premia msimu wa 2019-2020. Firmino amecheza mechi 26 katika mashindano yote msimu huu, akifunga mabao tisa na kutoa asisti nne. Alikosa kikosi cha Brazil kwa Kombe la Dunia mwaka jana na Ligi ya Premia iliporejea baada ya michuano hiyo, aliuguza majeraha kabla ya kurejea kama mchezaji wa akiba katika ushindi wa derby dhidi ya Everton mnamo 13 Februari. [ATTACH type="full"]1343[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Roberto Firmino kuondoka Liverpool baada ya miaka minane mwishoni mwa msimu
Top
Bottom