Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Rodri Abeba BALLON D'OR Mbele Ya Vinny Jr | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Usiku wa kuamkia leo kiungo wa Manchester city na timu ya taifa ya Hispania Rodri ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ( BALLOON D'OR).Lakini maswali yamekuwa mengi kwanini Rodri na sio Vinicius Jr kama wengi walivyotarajia, hapa nimekusogezea baadhi ya vigezo vinavyoyumikia kumchagua mchezaji bora wa Dunia.

INDIVIDUAL PERFORMANCE ( Uwezo binafsi) Kwenye eneo hili Rodri amekuwa na kiungo bora sana akiwa na timu ya Taifa hata Klabu, amekuwa na muendelezo wa kiwango chake kile kile.

ACHIEVEMENT ( Mafanikio) Ukiachana na uwezo mkubwa ambao Rodri ameonyesha uwanjani,pia ni mchezaji ambaye amefanikiwa kwa upande wa kutwaa Mataji mengi ngazi ya Klabu na timu ya Taifa.Msimu uliyopita ametwaaa EPL, UEFA Super Cup, Euro akiwa na Hispania, Mchezaji bora wa mashindano ya Euro 2024, Klabu bingwa ya Dunia ngazi ya Klabu.Ukilinganisha na Vinicius Jr ambaye ameshinda UEFA na Laliga pekee huku kwenye ngazi ya timu ya Taifa akiwa hajatoa mchango mkubwa..

CLASS AND FAIR PLAY ( Daraja la kiwango na Uungwana Mchezoni)Kwenye upande wa daraja Rodri kwenye eneo la kiungo mkabaji amekuwa kwenye muendelezo wa kiwango kiasi Cha kukosekana kwake uwanjani unaona Manchester city inayumba kwenye eneo hilo au Hispania inavuja kwenye eneo la kati.Lakini upande wa Uungwana Rodri amempiga gape kubwa Vinicius Jr ambaye mara nyingi amekuwa akiingia kwenye migogori na wachezaji wengine uwanjani.

So far kwa upande wangu Rodri amestahili kutwaa tuzo hiyo, lakini pia ameenda kubadilisha mitazamo ya watu wengi ya kuamini mchezaji anayecheza eneo la ukabaji ni ngumu kushinda Ballon d'or, mara ya mwisho alishinda Fabio Cannavaro mwaka 2006.Lakini Rodri anakuwa Mhispania wa kwanza baada ya miaka 64 kupita kutwaa tuzo hiyo kubwa duniani.

[QUOTE="Kijiweni, post: 11663, member: 476"] Usiku wa kuamkia leo kiungo wa Manchester city na timu ya taifa ya Hispania Rodri ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ( BALLOON D'OR).Lakini maswali yamekuwa mengi kwanini Rodri na sio Vinicius Jr kama wengi walivyotarajia, hapa nimekusogezea baadhi ya vigezo vinavyoyumikia kumchagua mchezaji bora wa Dunia. INDIVIDUAL PERFORMANCE ( Uwezo binafsi) Kwenye eneo hili Rodri amekuwa na kiungo bora sana akiwa na timu ya Taifa hata Klabu, amekuwa na muendelezo wa kiwango chake kile kile. ACHIEVEMENT ( Mafanikio) Ukiachana na uwezo mkubwa ambao Rodri ameonyesha uwanjani,pia ni mchezaji ambaye amefanikiwa kwa upande wa kutwaa Mataji mengi ngazi ya Klabu na timu ya Taifa.Msimu uliyopita ametwaaa EPL, UEFA Super Cup, Euro akiwa na Hispania, Mchezaji bora wa mashindano ya Euro 2024, Klabu bingwa ya Dunia ngazi ya Klabu.Ukilinganisha na Vinicius Jr ambaye ameshinda UEFA na Laliga pekee huku kwenye ngazi ya timu ya Taifa akiwa hajatoa mchango mkubwa.. CLASS AND FAIR PLAY ( Daraja la kiwango na Uungwana Mchezoni)Kwenye upande wa daraja Rodri kwenye eneo la kiungo mkabaji amekuwa kwenye muendelezo wa kiwango kiasi Cha kukosekana kwake uwanjani unaona Manchester city inayumba kwenye eneo hilo au Hispania inavuja kwenye eneo la kati.Lakini upande wa Uungwana Rodri amempiga gape kubwa Vinicius Jr ambaye mara nyingi amekuwa akiingia kwenye migogori na wachezaji wengine uwanjani. So far kwa upande wangu Rodri amestahili kutwaa tuzo hiyo, lakini pia ameenda kubadilisha mitazamo ya watu wengi ya kuamini mchezaji anayecheza eneo la ukabaji ni ngumu kushinda Ballon d'or, mara ya mwisho alishinda Fabio Cannavaro mwaka 2006.Lakini Rodri anakuwa Mhispania wa kwanza baada ya miaka 64 kupita kutwaa tuzo hiyo kubwa duniani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Rodri Abeba BALLON D'OR Mbele Ya Vinny Jr | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Top
Bottom