Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Ronald Araùjo kiboko ya Mawinga wasumbufu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Jana kwenye El Classicò tulishuhudia beki kisiki wa Fc Barcelona Ronald Araùjo akimuweka kwenye mfuko winga hatari wa Real Madrid Vini Jr.

Araùjo alipewa kazi maalum na Xavi ni kuhakikisha anamfanyia Marking Vini asilete madhara kwa upande wao.

Vini Jr ni mchezaji mwenye kasi sana hivyo anahitaji kufanyiwa Marking ya karibu zaidi hatakiwi kupewa nafasi ya kupokea na kugeuka na mpira it's a risk.

Mara nyingi Xavi anamtumia Araùjo upande wa beki wa kulia pale anapokutana na timu yenye winga mwenye kasi na msumbufu,kwa sababu Araùjo ana nguvu, kasi na uwezo wa kupambana 1v1.

Jana Real Madrid walipoteza kwa goli 1-0 wakiwa kwenye dimba lao kwa mara ya kwanza baada ya miezi 11,mara ya mwisho kupoteza ilikuwa dhidi ya Chelsea kwenye Uefa.

Lakini pia Jana Madrid walishindwa kupiga shuti lililolenga lango,mara ya mwisho kushindwa kufanya hivyo ni 2010.[ATTACH=full]1340[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3506, member: 622"] Jana kwenye El Classicò tulishuhudia beki kisiki wa Fc Barcelona Ronald Araùjo akimuweka kwenye mfuko winga hatari wa Real Madrid Vini Jr. Araùjo alipewa kazi maalum na Xavi ni kuhakikisha anamfanyia Marking Vini asilete madhara kwa upande wao. Vini Jr ni mchezaji mwenye kasi sana hivyo anahitaji kufanyiwa Marking ya karibu zaidi hatakiwi kupewa nafasi ya kupokea na kugeuka na mpira it's a risk. Mara nyingi Xavi anamtumia Araùjo upande wa beki wa kulia pale anapokutana na timu yenye winga mwenye kasi na msumbufu,kwa sababu Araùjo ana nguvu, kasi na uwezo wa kupambana 1v1. Jana Real Madrid walipoteza kwa goli 1-0 wakiwa kwenye dimba lao kwa mara ya kwanza baada ya miezi 11,mara ya mwisho kupoteza ilikuwa dhidi ya Chelsea kwenye Uefa. Lakini pia Jana Madrid walishindwa kupiga shuti lililolenga lango,mara ya mwisho kushindwa kufanya hivyo ni 2010.[ATTACH type="full"]1340[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Ronald Araùjo kiboko ya Mawinga wasumbufu
Top
Bottom