Ronaldo afunga goli lake la 500 kwenye ligi tu.

Feb 7, 2023
61
36
5
Mshambuliaji nyota raia wa Ureno Cristiano Ronaldo leo amefunga magoli yote manne kwenye ushindi wa mabao 4 -0 dhidi ya Al Wehda na kufanya kufikisha jumla ya magoli 503.

Nyota huyo mpya wa Al Nassr ya Saudi Arabia ameandika rekodi hiyo mpya,huku watu wengi wakiamini Ronaldo ameshuka kiwango ndio maana ameondoka barani ulaya kwenye ligi za ushindani.

FORM IS TEMPORARY, BUT CLASS IS PERMANENT.
20230209_224257.jpg