Mkurugenzi wa AS Roma, Tiago Pinto: "Cristiano Ronaldo hajawahi kuwa chaguo kwa Roma - hakuna jambo zito au dhahiri licha ya uvumi huo. Hatujawahi kufungua mazungumzo ya kumsajili".
"Labda walituunganisha CR7 kwa vile mimi ni Mreno na Mourinho pia, lakini haikuwa hivyo".
