Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
RONALDO KATEMA NYONGO UKO MANCHESTER UNITED
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

“Hakuna kilichobadilika hapa tangu Sir Alex alipoondoka. Nilipoamua kurejea Manchester United, nilifuata moyo wangu. Sir Alex Ferguson aliniambia: ‘Haiwezekani wewe kwenda Man City!’. Na nikasema: ‘Sawa, bosi’… kwa hiyo, nilirudi. Lakini hakuna kilichobadilika hapa. Maendeleo ni SIFURI”.

"Ninaipenda Manchester United, ninawapenda mashabiki, daima wako upande wangu. Lakini kama klabu wanataka kufanya mambo kuwa tofauti… inabidi wabadilishe mambo mengi sana.”

"Nadhani mashabiki wanapaswa kujua ukweli. Naitakia klabu mema zaidi. Ndiyo maana nimekuja Manchester United. Lakini kuna baadhi ya mambo ndani ambayo hayatusaidii (sisi) kufikia kiwango cha juu kama City, Liverpool na hata sasa Arsenal."

"Sir Alex Ferguson anajua vizuri kuliko mtu yeyote kwamba klabu haiko kwenye njia wanayostahili kuwa. Anajua. Kila mtu anajua. Watu ambao hawaoni hilo ni kwa sababu hawataki kuona; ni vipofu.”

"Nilihisi baadhi ya watu hawanitaki hapa [Manchester United] sio tu mwaka huu lakini mwaka jana pia."

Cristiano Ronaldo kuhusu Ten Hag:

“Sina heshima kwake kwa sababu haonyeshi heshima kwangu. Ikiwa huniheshimu, sitawahi kukuheshimu kamwe.”

[ATTACH=full]519[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1765, member: 464"] “Hakuna kilichobadilika hapa tangu Sir Alex alipoondoka. Nilipoamua kurejea Manchester United, nilifuata moyo wangu. Sir Alex Ferguson aliniambia: ‘Haiwezekani wewe kwenda Man City!’. Na nikasema: ‘Sawa, bosi’… kwa hiyo, nilirudi. Lakini hakuna kilichobadilika hapa. Maendeleo ni SIFURI”. "Ninaipenda Manchester United, ninawapenda mashabiki, daima wako upande wangu. Lakini kama klabu wanataka kufanya mambo kuwa tofauti… inabidi wabadilishe mambo mengi sana.” "Nadhani mashabiki wanapaswa kujua ukweli. Naitakia klabu mema zaidi. Ndiyo maana nimekuja Manchester United. Lakini kuna baadhi ya mambo ndani ambayo hayatusaidii (sisi) kufikia kiwango cha juu kama City, Liverpool na hata sasa Arsenal." "Sir Alex Ferguson anajua vizuri kuliko mtu yeyote kwamba klabu haiko kwenye njia wanayostahili kuwa. Anajua. Kila mtu anajua. Watu ambao hawaoni hilo ni kwa sababu hawataki kuona; ni vipofu.” "Nilihisi baadhi ya watu hawanitaki hapa [Manchester United] sio tu mwaka huu lakini mwaka jana pia." Cristiano Ronaldo kuhusu Ten Hag: “Sina heshima kwake kwa sababu haonyeshi heshima kwangu. Ikiwa huniheshimu, sitawahi kukuheshimu kamwe.” [ATTACH type="full"]519[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
RONALDO KATEMA NYONGO UKO MANCHESTER UNITED
Top
Bottom