Roundi ya kwanza imeisha na huu ndo msimamo ulivyo

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Yanga akiwa akiongozi waa ligi kwa Pointi 38 huku anaeshika nafasi ya pili ni Azam akiwa na pointi 35 akiachwa kwa point 3 na kinara wa ligi, Simba akiwa na Pointi 34 nafasi ya tatu Simba na Azam wanapishana pointi moja tu, na Simba ndo anaongoza kuwa na mabao mengi katika msimamo huu ana mabao 24 Azam 9 na Yanga 19.

Nafasi za mwisho akishika mkia Polisi Tanzania Fc pointi 9, akifatiwa na Ruvu Shooting FC akiwa na pointi 1, Iheafu akiwa juu yao kwa pointi 11 kabla ya kuifunga Yanga Ihefu alikua ndo anaburuza mkia kwenye msimamo kwasasa watashukuru Yanga kuwatoa mkiani mpaka nafasi ya 3 kutoka mwisho wa msimamo. Hivi ndivyo msimamo ulivyo baada yakumaliza mzunguko wa kwanza.

Tunapoendea kwenye mzunguko wa pili unafikiri nani atakua Bingwa msimu huu ya 2022/2023??
85a93c33-0191-4a36-a0c6-6ee3df190a70.jpg