Saido Ntibanzokiza Ni Mnyama 🦁

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Klabu Ya Simba SC Imetangaza Kukamilisha Usajili Wa Kiungo Mshambuliaji Fundi Wa Kimataifa Wa Burundi Na Klabu Ya Geita Gold FC Saido Ntibanzokiza Kwa Mkataba Wa Mwaka Mmoja Na Nusu.

Kiungo Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 36 Msimu Huu Tayari Ameshahusika Kwenye Magoli 10 Akiwa Na Geita Gold FC Baada Ya Kutoa Pasi Za Magoli 6 Na Kufunga Magoli 4.

Tayari Nyota Huyo Ameshawasili Kwenye Kambi Ya Simba Jijini Mwanza Na Huenda Akawa Sehemu Ya Kikosi Cha Simba Kitakachocheza Dhidi Ya KMC FC Jumatatu Ya Kesho Kutwa.
Good Short Term Signing So Far..!
 

Attachments

  • IMG_20221224_131206.jpg
    IMG_20221224_131206.jpg
    1.5 MB · Somwa: 0