Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Saido Ntibanzokiza Ni Mnyama 🦁
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Klabu Ya Simba SC Imetangaza Kukamilisha Usajili Wa Kiungo Mshambuliaji Fundi Wa Kimataifa Wa Burundi Na Klabu Ya Geita Gold FC Saido Ntibanzokiza Kwa Mkataba Wa Mwaka Mmoja Na Nusu.

Kiungo Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 36 Msimu Huu Tayari Ameshahusika Kwenye Magoli 10 Akiwa Na Geita Gold FC Baada Ya Kutoa Pasi Za Magoli 6 Na Kufunga Magoli 4.

Tayari Nyota Huyo Ameshawasili Kwenye Kambi Ya Simba Jijini Mwanza Na Huenda Akawa Sehemu Ya Kikosi Cha Simba Kitakachocheza Dhidi Ya KMC FC Jumatatu Ya Kesho Kutwa.

Good Short Term Signing So Far..!

[QUOTE="ChichaMandi, post: 2465, member: 573"] Klabu Ya Simba SC Imetangaza Kukamilisha Usajili Wa Kiungo Mshambuliaji Fundi Wa Kimataifa Wa Burundi Na Klabu Ya Geita Gold FC Saido Ntibanzokiza Kwa Mkataba Wa Mwaka Mmoja Na Nusu. Kiungo Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 36 Msimu Huu Tayari Ameshahusika Kwenye Magoli 10 Akiwa Na Geita Gold FC Baada Ya Kutoa Pasi Za Magoli 6 Na Kufunga Magoli 4. Tayari Nyota Huyo Ameshawasili Kwenye Kambi Ya Simba Jijini Mwanza Na Huenda Akawa Sehemu Ya Kikosi Cha Simba Kitakachocheza Dhidi Ya KMC FC Jumatatu Ya Kesho Kutwa. Good Short Term Signing So Far..! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Saido Ntibanzokiza Ni Mnyama 🦁
Top
Bottom