Saka wa Arsenal anaweza kutusaidia Madrid

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Quality aliokua nayo Saka anaweza kutusaidia am sure aisee yes presha ipo ila kama unaubonda unaubonda tu tukisema presha basi wachezaji wengi wanatoka kwenye klabu ambazo ziko chini yetu hazina ukubwa wetu ila ndio leo hii wanacheza katika chama letu na wanaanza

Militao Porto
Tc Chelsea
Rudiger Chelsea
Valverde academy
Vinicius Flamengo
Rodrygo Santos
Benzema Lyon
Camavinga Lille
Ceballos Betis

ukitoa

Alaba Bayern
Kroos Bayern

awa pekee ndio wametoka kwenye klabu yenye mafanikio UEFA na Ligi yao na tunaujua ukubwa wao ila players wote waliobakis wametoka klabu ndogo kimafanikio kulinganisha na ss ila wanajitahidi wana perform

Haijalishi umetoka boko, New orleans, Berlin, Moscow au Madrid its about what can u do for our beloved club...

Kwamba unamuamini kijana wa Brazil alafu unashindwa mwamini kijana anaecheza EPL na timu ya taifa ya England
 
  • Like
Reactions: Nabi and McRay

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
soka la sa hivi inabidi uwe na mascout wazuri la sivyo vitabu havito balance madeni madeni yatakua mengi maana watu wanajua kupiga bei kweli kweli...scout cheap kadhaa nunua top players kadhaa kazi kazi
 
  • Like
Reactions: Nabi

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
am sure tukiongea nae tu hagomi aje kukiwasha RW!
Perez aache ufamba alete kijana uyo tue na bolt kwenye flanks