Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Clara" data-source="post: 3561" data-attributes="member: 565"><p>Mkataba wa timu na mchezaji ni mkataba wa ajira ukiachana tofauti kadhaa, hata katika mkataba wa kawaida tu wa ajira duniani na hapa Tanzania mfanyakazi akiacha kazi bila kufuata utaratibu mahakama huwa haimlazimishi mfanyakazi kurudi kazini (specific performance), bali inampa inamlipisha fidia tu. Ukishalazimisha mtu kumfanyia kazi mtu mwingine hiyo inakuwa forced labour au infringement of freedom ya mchezaji.</p><p>Kingine hii ni aina ya mikataba ambayo inafanya mtu mmoja kuwa chini ya usimamizi wa mtu mwingine hivyo ni lazima ahiyari kama anavunja mkataba remedies za fidia na sanctions ndiyo appropriate. Chukulia mfano Feitoto akarudi</p><p>Yanga lazima kwa yanaliyotokea atakutana na maboss wenye kinyongo na hataishi kwa amani hivyo mbali na kanuni hiyo 17 ya kanuni za FIFA za hadhi za wachezaji uamuzi huo wa TFF unapingana hata na normal logic and commonsense.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Clara, post: 3561, member: 565"] Mkataba wa timu na mchezaji ni mkataba wa ajira ukiachana tofauti kadhaa, hata katika mkataba wa kawaida tu wa ajira duniani na hapa Tanzania mfanyakazi akiacha kazi bila kufuata utaratibu mahakama huwa haimlazimishi mfanyakazi kurudi kazini (specific performance), bali inampa inamlipisha fidia tu. Ukishalazimisha mtu kumfanyia kazi mtu mwingine hiyo inakuwa forced labour au infringement of freedom ya mchezaji. Kingine hii ni aina ya mikataba ambayo inafanya mtu mmoja kuwa chini ya usimamizi wa mtu mwingine hivyo ni lazima ahiyari kama anavunja mkataba remedies za fidia na sanctions ndiyo appropriate. Chukulia mfano Feitoto akarudi Yanga lazima kwa yanaliyotokea atakutana na maboss wenye kinyongo na hataishi kwa amani hivyo mbali na kanuni hiyo 17 ya kanuni za FIFA za hadhi za wachezaji uamuzi huo wa TFF unapingana hata na normal logic and commonsense. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano
Top
Bottom