Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Samatta Awatosa Ronaldo, Messi Tuzo za FIFA.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KURA aliyopiga Mtanzania Mbwana Samatta kwa straika Robert Lewandowski wa Bayern Munich, imemfanya nyota

huyo aibuke mshindi waTuzo za Mchezaji Bora wa FIFA, huku akiwatosa kabisa mastaa Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.

Samatta anayekipiga Klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji na nahodha wa Taifa Stars, alikuwa mmoja kati ya wadau waliopiga kura hiyo ambapo tuzo hizo zilifanyika juzi usiku katika Jiji la Zurich, Uswisi yalipo Makao Makuu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Katika kura zake tatu alizopiga kama nahodha wa Tanzania, ya kwanza Samatta ilikuwa kwa Mpolandi, Lewandowski, ya pili alimpigia mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah pia ni nahodha wa Misri na

ya tatu ilienda kwa kiungo Muitaliano anayekipiga Chelsea, Jorginho.

[QUOTE="Amir, post: 465, member: 20"] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/270758584_218361287042936_691031712871833402_n.jpg[/IMG] KURA aliyopiga Mtanzania Mbwana Samatta kwa straika Robert Lewandowski wa Bayern Munich, imemfanya nyota huyo aibuke mshindi waTuzo za Mchezaji Bora wa FIFA, huku akiwatosa kabisa mastaa Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Samatta anayekipiga Klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji na nahodha wa Taifa Stars, alikuwa mmoja kati ya wadau waliopiga kura hiyo ambapo tuzo hizo zilifanyika juzi usiku katika Jiji la Zurich, Uswisi yalipo Makao Makuu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Katika kura zake tatu alizopiga kama nahodha wa Tanzania, ya kwanza Samatta ilikuwa kwa Mpolandi, Lewandowski, ya pili alimpigia mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah pia ni nahodha wa Misri na ya tatu ilienda kwa kiungo Muitaliano anayekipiga Chelsea, Jorginho. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Samatta Awatosa Ronaldo, Messi Tuzo za FIFA.
Top
Bottom