Saudia Arabia Kuandaa Kombe La Dunia Mwaka 2030 Kisa Ronaldo..!

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Cristiano Ronaldo Yupo Mbioni Kusaini Mkataba Wa Miaka 7 Na Nchi Ya Saudia Arabia.Miaka 2 Na Nusu Ataitumikia Akiwa Kama Mchezaj Kwenye Klabu Ya Al-Nassry Ya Nchini Humo Na Ukimalizika Atakuwa Balozi Wa Saudia Arabia Kwa Miaka 4 Na Nusu Kwenye Mchakato Wa Kusaidia Nchi Hiyo Kuhodhi Michuano Ya Kombe La Dunia 2030..!