Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Scouting ya Simba imefeli kufanya sajili nzuri kwa misimu miwili sasa.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Miezi 8 nyuma Kassim Dewji alisema kuwa Simba SC haitumi njia sahihi kufanya usajili na wanahitaji mtaalam kwenye eneo hilo. Lakini alionekana anatengeneza migogoro.

Leo ukiangalia usajili uliofanywa na Simba SC kwenye madirisha 2 yaliyopita zaidi ya 45% umefeli.

Ukiangalia kuna ukweli ndani yake, Simba wamesajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wamekuwa hawatumiki Outtara,Okwa,Akpan na wengine wengi ambao wamekuja hapa lakini wameshindwa kuonyesha ubora wao.

Hii ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo walikuwa wanafanya sajili zenye ubora mkubwa na manufaa kwa timu yao.

Unaweza ukawa unajiuliza ni huo udalali unaofanywa na viongozi kusajili wachezaji ambao hawajatumika kwa muda mrefu au ni kweli wameshindwa kufanya scouting nzuri.

Ukiangalia watani zao yanga wamekuwa tofauti kidogo wanasajili wachezaji kwa matakwa ya kocha,lakini pia ni mchezaji mwenye uwezo wa kupambania namba na uwezo mkubwa uwanjani.

Ni wakati sasa kwa Uongozi na Scouting team ya Simba kujitafakari wanafeli wapi kwenye usajili kwa miaka ya hivi karibuni, toka afariki Zakaria Hanspope Simba wamekosa mtu sahihi kwenye usajili.[ATTACH=full]1283[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3441, member: 622"] Miezi 8 nyuma Kassim Dewji alisema kuwa Simba SC haitumi njia sahihi kufanya usajili na wanahitaji mtaalam kwenye eneo hilo. Lakini alionekana anatengeneza migogoro. Leo ukiangalia usajili uliofanywa na Simba SC kwenye madirisha 2 yaliyopita zaidi ya 45% umefeli. Ukiangalia kuna ukweli ndani yake, Simba wamesajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wamekuwa hawatumiki Outtara,Okwa,Akpan na wengine wengi ambao wamekuja hapa lakini wameshindwa kuonyesha ubora wao. Hii ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo walikuwa wanafanya sajili zenye ubora mkubwa na manufaa kwa timu yao. Unaweza ukawa unajiuliza ni huo udalali unaofanywa na viongozi kusajili wachezaji ambao hawajatumika kwa muda mrefu au ni kweli wameshindwa kufanya scouting nzuri. Ukiangalia watani zao yanga wamekuwa tofauti kidogo wanasajili wachezaji kwa matakwa ya kocha,lakini pia ni mchezaji mwenye uwezo wa kupambania namba na uwezo mkubwa uwanjani. Ni wakati sasa kwa Uongozi na Scouting team ya Simba kujitafakari wanafeli wapi kwenye usajili kwa miaka ya hivi karibuni, toka afariki Zakaria Hanspope Simba wamekosa mtu sahihi kwenye usajili.[ATTACH type="full"]1283[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Scouting ya Simba imefeli kufanya sajili nzuri kwa misimu miwili sasa.
Top
Bottom