Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Sergio Aguero: Mshambulizi wa Barcelona atangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 33 kutokana na ugonjwa wa moyo.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Amir" data-source="post: 100" data-attributes="member: 20"><p>Mfungaji bora huyo wa Manchester City, ambaye alihamia Barcelona kwa uhamisho wa bure msimu wa joto, alilazimika kubadilishwa wakati timu yake ikitoka sare ya 1-1 na Alaves mwezi Oktoba baada ya kupata msaada wa matibabu uwanjani kutibu maumivu ya kifua na kizunguzungu. Mshambulizi huyo wa Argentina alipelekwa hospitali kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya moyo na baada ya hapo akawekwa nje kwa miezi mitatu. Hata hivyo, Aguero hakurejea uwanjani kabla ya kutangaza Jumatano huko Nou Camp kwamba maisha yake ya uchezaji yamekamilika. Aguero kwa hisia kali alisema: "Mkutano huu ni wa kuwasilisha kwamba nimeamua kuacha kucheza soka. “Ni wakati mgumu sana, uamuzi nilioufanya nimeuchukua kwa ajili ya afya yangu, ndiyo sababu kuu, kutokana na tatizo nililokuwa nalo mwezi mmoja na nusu uliopita."Nilikuwa mikononi mwa wafanyikazi wa matibabu ambao wamefanya vizuri na wameniambia jambo bora ni kuacha kucheza."Kwa hivyo nilifanya uamuzi huo takriban wiki moja iliyopita na ninataka kumwambia kila mtu nilifanya kila linalowezekana kuwa na matumaini, lakini hakukuwa na mengi sana."</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Amir, post: 100, member: 20"] Mfungaji bora huyo wa Manchester City, ambaye alihamia Barcelona kwa uhamisho wa bure msimu wa joto, alilazimika kubadilishwa wakati timu yake ikitoka sare ya 1-1 na Alaves mwezi Oktoba baada ya kupata msaada wa matibabu uwanjani kutibu maumivu ya kifua na kizunguzungu. Mshambulizi huyo wa Argentina alipelekwa hospitali kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya moyo na baada ya hapo akawekwa nje kwa miezi mitatu. Hata hivyo, Aguero hakurejea uwanjani kabla ya kutangaza Jumatano huko Nou Camp kwamba maisha yake ya uchezaji yamekamilika. Aguero kwa hisia kali alisema: "Mkutano huu ni wa kuwasilisha kwamba nimeamua kuacha kucheza soka. “Ni wakati mgumu sana, uamuzi nilioufanya nimeuchukua kwa ajili ya afya yangu, ndiyo sababu kuu, kutokana na tatizo nililokuwa nalo mwezi mmoja na nusu uliopita."Nilikuwa mikononi mwa wafanyikazi wa matibabu ambao wamefanya vizuri na wameniambia jambo bora ni kuacha kucheza."Kwa hivyo nilifanya uamuzi huo takriban wiki moja iliyopita na ninataka kumwambia kila mtu nilifanya kila linalowezekana kuwa na matumaini, lakini hakukuwa na mengi sana." [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Sergio Aguero: Mshambulizi wa Barcelona atangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 33 kutokana na ugonjwa wa moyo.
Top
Bottom