Serie A: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k

Mkwavinyika

Administrator
Staff member
Dec 2, 2021
49
9
26
Dar es Salaam
Msimamo wa Ligi: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.



Mechi Zinazofuata: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.



Wafungaji bora wa Ligi: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.

 

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
FT: AC Milan 3-1 As Roma
⚽
9': Giroud (P)
⚽
17': Messias
⚽
40': Tammy Abraham
⚽
82': Leao
Siku mbaya kazini kwa Jose Mourinho
1641550985882.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
FULL TIME
Inter 2-1 Juventus
⚽
25': McKennie
⚽
35': Lautaro Martinez (p)
⚽
120': Alexis Sanchez
Inter mabingwa wa Italian Super Cup 2022
1642053249156.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Alexis Sanchez ndiye mchezaji bora wa mechi kati ya Inter dhidi ya Juventus
Sanchez alifunga goli dakika ya 120 na kuiwezesha Inter kutwaa ubingwa wa Italian Super Cup
🇮🇹

1642053890078.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
FULL TIME
Lazio 1-0 Udinese
⚽
106': Immobile
Ngoma ilienda hadi dakika ya 120 na Napoli wametinga hatua ya robo fainali ya Coppa Italia
🇮🇹

Pichani ni mchezaji wa Udinese alivyoangushwa na kuangukia kwa kocha wa Lazio Maurizio Sarri
😂

Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na watu wanacheza spoti
Inaweza kuwa picha ya Watu 4 na watu wanasimama
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Baada ya kufunga mabao mawili hapo jana wakati timu yake ya As Roma ikiibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Empoli, Bwana Mdogo Tammy Abraham ana namba zake katika Serie A
Namba hazidanganyi
🔥

Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na maandishi yanayosema 'TAMMY ABRAHAM SERIE A 2021/22 NB 22 MECHI digitalbits 10 MABAO Soka ONLINE 3 PASI PASIZA ZA MABAO'