Shindano la uwekezaji la DSE kwa wanafunzi

JimNicklaus

Administrator
Staff member
Nov 30, 2021
13
4
5
Dar Es Salaam
LA MGAMBO LIKILIA ..KUNA JAMBO..DSE inakuja tena na shindano pendwa kwa wanafunzi la Scholar Investment Challenge lakini vile vile na fursa ya umma kwa jumla kujifunza masuala ya uwekezaji kwa vitendo ya dhamana ( HISA na HATIFUNGANI) zilizopo ndani ya Soko la Hisa la Dar es Salaam..USIPITWE NA HILI kua mmoja wa Mapinduzi ya kiuchumi katika UWEKEZAJI

268141596_962174841064899_8791841967092245753_n.jpg
 
  • Like
Reactions: Muwekezaji