Simba Au Yanga Nani Kutoboa Makundi Ligi Ya Mabingwa?

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
54
51
5
Dar Es Salaam
Tunafahamu kuwa Tanzania inawakilishwa na vilabu viwili kimataifa ambao ni Simba na Yanga lakini swali kubwa ambalo niko nalo kwako mdau wa Kijiweni. Kati ya Simba Au Yanga Nani Kutoboa Makundi Ligi Ya Mabingwa?

Endelea kufuatilia zaidi taarifa mbalimbali kutoka Kijiweni kwa kugusa hapa https://www.kijiweni.co.tz/
Jiunge na WhatsApp Channel ya Kijiweni kwa kugusa hapa https://whatsapp.com/channel/0029VaCqKZzE50UeLjkORM2r
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Mimi naenda na yanga kwasababu kundi lake kidogo halina ushindani mkubwa kama kundi la Simba. Yanga akishinda kesho basi atafuzu hatua ya makundi na kuelekea kuania ubingwa.