Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba bila chama yaambulia pointi moja
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Ikicheza bila Chama imeambulia pointi moja mbele ya Singida Big Stars mchezo uliochezwa jana katika dimba la Liti Singida.

Chama alifungiwa michezo mitatu na (TFF) kutokana na kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani katika mchezo wa Ligi Kuu, kwenye mechi yao dhidi watani wao wa jadi Yanga.

Simba imeendelea kuongeza gape la pointi 5 dhidi ya watani wake Yanga baada ya kuambulia pointi 1 na kua na pointi 18 huku singida wakiwa na pointi hizo hizo 18 kwenye mechi yao ya jana, Simba akishika nafasi ya 3 na Singida nafasi ya 4.

Singida ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 35 kutoka kwa winga Deus Kaseke aliyemalizia krosi ya Said Ndemla.

Dakika ya 58 Simba ilifanikiwa kusawazisha goli kupitia kwa Banda, Na kufanikiwa kuokoa point 2 na mechi kumalizika kwa sare ya 1-1

[QUOTE="Brenda, post: 1725, member: 464"] Simba Ikicheza bila Chama imeambulia pointi moja mbele ya Singida Big Stars mchezo uliochezwa jana katika dimba la Liti Singida. Chama alifungiwa michezo mitatu na (TFF) kutokana na kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani katika mchezo wa Ligi Kuu, kwenye mechi yao dhidi watani wao wa jadi Yanga. Simba imeendelea kuongeza gape la pointi 5 dhidi ya watani wake Yanga baada ya kuambulia pointi 1 na kua na pointi 18 huku singida wakiwa na pointi hizo hizo 18 kwenye mechi yao ya jana, Simba akishika nafasi ya 3 na Singida nafasi ya 4. Singida ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 35 kutoka kwa winga Deus Kaseke aliyemalizia krosi ya Said Ndemla. Dakika ya 58 Simba ilifanikiwa kusawazisha goli kupitia kwa Banda, Na kufanikiwa kuokoa point 2 na mechi kumalizika kwa sare ya 1-1 [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba bila chama yaambulia pointi moja
Top
Bottom