Simba ilikuwa haina shida na Mwalimu ntabaki na huu msimamo wangu siku zote mpaka atakapo ondoka

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Simba ilikuwa haina shida na Mwalimu ntabaki na huu msimamo wangu siku zote mpaka atakapo ondoka.

Simba ilikatika kiungo Sawadogo alipoteza Sana mipira kaingia mkude mpira umechezwa mkubwa sana.

Saido na Chama wameshindwa kufungua njia na kupiga zile pasi za Mwisho Sakho na Bocco hawakuwa na wakati mzuri uwanjani.
Niseme tu Simba inauliwa na Kocha amekuja kuleta history mbovu nyumbani kufungwa goli nyingi.

ADC2E945-BC49-4BC2-B4D1-F2BDCD3969D7.jpeg
 
  • Like
Reactions: jamal

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Tumefungwa na timu iliyotuzidi quality,hakuna wa kumlaumu muhimu ni kujipanga kushinda mechi zote dhidi ya vipers na horoya ,na tuombe raja amfunge horoya home and away