Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Inaenda Kurudisha Hadhi Na Msisimko Wa Kombe La CAF Shirikisho
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi ulikuwa unaendelea kwa vitimu vile visivyokuwa na profile.

Imagine vitimu kama Malumo ambavyo katika ligi ya ndani vilikuwa vinaelekea kushuka daraja unavikuta viko nusu fainali. Ukiangalia kule unakutana na kitimu kinaitwa sijui Yanga kinafika hadi fainali tena kwa kusumbua timu karibu zote ila ukiangalia katimu hakana mbele wala nyuma. Anyway tuyaache hayo.

Nikiangalia kinachoenda kutokea msimu huu wa 2024-25 ni kuwa Kombe la Shirikisho litakuwa na msisimko sana ambao uaweza hata kuzidi ule wa Champions League. CL imepoteza timu kadhaa kubwa zilizokuwa zinayapa mashindano hadhi. CAF inaenda kuyapa coverage kubwa mashindano ya Shirikisho kutokana na ushiriki wa Simba.

Angalizo: Hersi ana ukaribu sana na Kaizer Chiefs, Simba inabidi icheze kwa stepu mashindano haya.

[QUOTE="Hammy36, post: 6658, member: 617"] Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi ulikuwa unaendelea kwa vitimu vile visivyokuwa na profile. Imagine vitimu kama Malumo ambavyo katika ligi ya ndani vilikuwa vinaelekea kushuka daraja unavikuta viko nusu fainali. Ukiangalia kule unakutana na kitimu kinaitwa sijui Yanga kinafika hadi fainali tena kwa kusumbua timu karibu zote ila ukiangalia katimu hakana mbele wala nyuma. Anyway tuyaache hayo. Nikiangalia kinachoenda kutokea msimu huu wa 2024-25 ni kuwa Kombe la Shirikisho litakuwa na msisimko sana ambao uaweza hata kuzidi ule wa Champions League. CL imepoteza timu kadhaa kubwa zilizokuwa zinayapa mashindano hadhi. CAF inaenda kuyapa coverage kubwa mashindano ya Shirikisho kutokana na ushiriki wa Simba. Angalizo: Hersi ana ukaribu sana na Kaizer Chiefs, Simba inabidi icheze kwa stepu mashindano haya. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Inaenda Kurudisha Hadhi Na Msisimko Wa Kombe La CAF Shirikisho
Top
Bottom