Simba is OUT.

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Timu ziko tatu ktk kundi na timu mbili Zina points nne nne alafu Simba Hana point yoyote ina maana mchezo unao fuata akicheza Hata kama ata shinda atakuwa na points tatu Huku wenziwe nne nne katika kundi.
View attachment 1006
Makundi yapo 4 kila kundi lina timu 3 kwa maana ya mechi 2 kila timu, na baada ya hapo kila kundi linatoa timu moja kuingia nusu fainali kwa matokeo ya jana Simba tumeaga mashindano rasmi kwa kuwa timu itakayopita ni mlandege ina point 4 tayari ambazo haziwezi kufikiwa na Simba! Kiukweli wachezaji wa jana wabaki watatu tu Beno, Kennedy na Okra tu wengine hao watupishe tu!!! Kama Kibu na Okwa aise shida sana Simba nguvu moja
 
Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Timu ziko tatu ktk kundi na timu mbili Zina points nne nne alafu Simba Hana point yoyote ina maana mchezo unao fuata akicheza Hata kama ata shinda atakuwa na points tatu Huku wenziwe nne nne katika kundi.
View attachment 1006
Kwa ss simba tunafanya mambo ya uto na uto wanafanya mambo ya simba tumerudi kule tulipo toka kwenye uswahili Tumefungwa na hakuna nafac ya kupita tunatimiza ratiba tu game ya mwisho
 
Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Timu ziko tatu ktk kundi na timu mbili Zina points nne nne alafu Simba Hana point yoyote ina maana mchezo unao fuata akicheza Hata kama ata shinda atakuwa na points tatu Huku wenziwe nne nne katika kundi.
View attachment 1006
Ndio, lakini Jana nimeshuhudia moja ya tukio la mapungufu ya akili kwa kocha , kwa kanuni ya kawaida hata ya kimaisha ipi hivi Kama haujuwi unachotafuta na kinapatikana kwa namna gani Basi umeferi, mgunda ameonyesha mapungufu makubwa ya kiakili kwa kutokujuwa kinachoendelea mbele yake, je Hana nakala ya makundi? Au amepewa nakala tofauti na ya kundi alilochezea?

Management ya Simba wamkumbushe mgunda asije akaenda club bingwa makundi huku akijuwa Kuna mechi nane za kucheza.
 
Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27
5
Timu ziko tatu ktk kundi na timu mbili Zina points nne nne alafu Simba Hana point yoyote ina maana mchezo unao fuata akicheza Hata kama ata shinda atakuwa na points tatu Huku wenziwe nne nne katika kundi.
View attachment 1006
Unajuwa kinachonikera zaidi sio tu Simba kupoteza na kutupwa nje ya mashindano.

Bali ni pale ninapoona wachezaji wasiojitambua wanaendelea kuwa sehemu ya kikosi, hivi mchezaji haupati nafasi ya kikosi Cha kwanza, unakuja kupata nafasi ya kuonyesha kitu unacheza utumbo mpaka mpira unaisha, then unataka uendelee kubaki kwenye timu kubwa!
Kibu, kyombo tuseme tu wameferi kuwepo msimbazi.
 
  • Like
Reactions: Azizi

Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
Unajuwa kinachonikera zaidi sio tu Simba kupoteza na kutupwa nje ya mashindano.

Bali ni pale ninapoona wachezaji wasiojitambua wanaendelea kuwa sehemu ya kikosi, hivi mchezaji haupati nafasi ya kikosi Cha kwanza, unakuja kupata nafasi ya kuonyesha kitu unacheza utumbo mpaka mpira unaisha, then unataka uendelee kubaki kwenye timu kubwa!
Kibu, kyombo tuseme tu wameferi kuwepo msimbazi.
wanavaa jez Ile bule hawaionei ata uluma