Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba katika njia ngumu ya kusaka taji Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba, wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi baada ya ushindi wa jumla wa mabao 4-2 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika hatua ya mwisho ya mchujo ambapo mechi zake za mwanzo zilichezwa Novemba 28 na mechi za marudiano ilikuwa Desemba 5.

Bado tarehe ya droo ya hatua ya makundi haijapangwa lakini kwa mujibu wa utaratibu, Simba ina nafasi kubwa ya kuwekwa katika chungu cha pili hivyo haiwezi kukutana na timu ambazo itapangwa nazo pamoja katika chungu kimoja ingawa inaweza kujikuta ikiangukia kundi moja na miongoni mwa timu 12 anbazo zitakuwa katika vyungu vingine.

Katika chungu cha pili, Simba itakuwa na Coton Sport na Orlando Pirates.

Chungu cha kwanza kina TP Mazembe na RS Berkane, Pyramids wakati cha tatu kuna Zanaco, JS Saoura, Asec Mimosas na Al Ahli Tripoli na cha nne kina AS Otoho, US Gendarmarie.

Bado mechi kati ya Enyimba na Al Ittihad haijaamriwa kama ilivyo kwa mechi kati ya Royal Leopards na JS Kabylie.

Makala hii inakuletea dondoo fupi za mafanikio katika mashindano ya Afrika kwa timu 10 zilizojihakikishia kutinga hatua ya 16 ambazo miongoni mwazo Simba inaweza kupangwa na tatu kwenye hatua ya makundi.

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 71, member: 7"] Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba, wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi baada ya ushindi wa jumla wa mabao 4-2 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika hatua ya mwisho ya mchujo ambapo mechi zake za mwanzo zilichezwa Novemba 28 na mechi za marudiano ilikuwa Desemba 5. Bado tarehe ya droo ya hatua ya makundi haijapangwa lakini kwa mujibu wa utaratibu, Simba ina nafasi kubwa ya kuwekwa katika chungu cha pili hivyo haiwezi kukutana na timu ambazo itapangwa nazo pamoja katika chungu kimoja ingawa inaweza kujikuta ikiangukia kundi moja na miongoni mwa timu 12 anbazo zitakuwa katika vyungu vingine. Katika chungu cha pili, Simba itakuwa na Coton Sport na Orlando Pirates. Chungu cha kwanza kina TP Mazembe na RS Berkane, Pyramids wakati cha tatu kuna Zanaco, JS Saoura, Asec Mimosas na Al Ahli Tripoli na cha nne kina AS Otoho, US Gendarmarie. Bado mechi kati ya Enyimba na Al Ittihad haijaamriwa kama ilivyo kwa mechi kati ya Royal Leopards na JS Kabylie. Makala hii inakuletea dondoo fupi za mafanikio katika mashindano ya Afrika kwa timu 10 zilizojihakikishia kutinga hatua ya 16 ambazo miongoni mwazo Simba inaweza kupangwa na tatu kwenye hatua ya makundi. [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3651060/landscape_ratio16x9/1160/652/1c45181bd53f90db656c6ef7b03f7043/nr/simba-pic.jpg[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba katika njia ngumu ya kusaka taji Afrika
Top
Bottom