Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Simba kufa, kupona leo
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba leo jioni atashuka dimbani akiwa mgeni wa Vipers katika dimba la St. Mary's nchini Uganda.

Katika mchezo wa leo Simba ataingia akiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza mechi zake mbili zilizopita dhidi ya Horoya na Raja huku akiwa hajafunga goli lolote kwenye michezo hiyo.

Hivyo Simba leo wataingia huku matokeo watakayokuwa wanahitaji zaidi ni ushindi ili aweze kurudisha matumaini ya kufuzu robo fainali.

Wakati huo mwenyeji wake pia Vipers atahitaji matokeo ya ushindi ili afikushe alama nne ambazo zitamsaidia kusogea kwenye nafasi za juu.

Ukiangalia kikosi cha Simba kina ubora na uzoefu mkubwa tofauti na Vipers hivyo Simba wanapewa nafasi ya kushinda mchezo wa leo, japo kwenye mechi za hivi karibuni wamekosa kuonyesha ubora wao.

Kumbuka ushindi wa Simba utaongeza hali ya kujiamini kwao na mashabiki, lakini wakipoteza itakuwa mbaya zaidi kwao kuelekea muendelezo wa ligi kuu na hata michuano ya Afrika.

Je, unaiona wapi leo Simba dhidi ya Vipers nini wafanye waweze kupata ushindi?[ATTACH=full]1297[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3454, member: 622"] Simba leo jioni atashuka dimbani akiwa mgeni wa Vipers katika dimba la St. Mary's nchini Uganda. Katika mchezo wa leo Simba ataingia akiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza mechi zake mbili zilizopita dhidi ya Horoya na Raja huku akiwa hajafunga goli lolote kwenye michezo hiyo. Hivyo Simba leo wataingia huku matokeo watakayokuwa wanahitaji zaidi ni ushindi ili aweze kurudisha matumaini ya kufuzu robo fainali. Wakati huo mwenyeji wake pia Vipers atahitaji matokeo ya ushindi ili afikushe alama nne ambazo zitamsaidia kusogea kwenye nafasi za juu. Ukiangalia kikosi cha Simba kina ubora na uzoefu mkubwa tofauti na Vipers hivyo Simba wanapewa nafasi ya kushinda mchezo wa leo, japo kwenye mechi za hivi karibuni wamekosa kuonyesha ubora wao. Kumbuka ushindi wa Simba utaongeza hali ya kujiamini kwao na mashabiki, lakini wakipoteza itakuwa mbaya zaidi kwao kuelekea muendelezo wa ligi kuu na hata michuano ya Afrika. Je, unaiona wapi leo Simba dhidi ya Vipers nini wafanye waweze kupata ushindi?[ATTACH type="full"]1297[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Simba kufa, kupona leo
Top
Bottom