Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
SIMBA KUIHAKIKISHIA YANGA UBINGWA.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera umezidi kuwa mchungu kwa mnyama Simba baada ya kuambulia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji wao Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Simba ilifungwa 1-0 mara ya mwisho walipocheza na wakataka miwa hao bao pekee la Kagera likifungwa na Hamis Kiiza ( Diego).

Katika mchezo wa leo,

Deus Bukenya ndiye aliyeanza kuitanguliza Kagera Sugar katika dakika ya 15.

Lakini baadae beki Henock Inonga akafanikiwa kuisawazishia Simba katika dakika ya 39.

Matokeo hayo yanaifanya Simba SC iwe imetoka sare mara 5 msimu huu na inafikisha alama 38 ikiwa nafasi ya pili.

Inazidiwa pointi 6 na Yanga ambao wanaongoza ligi.

Kagera Sugar imekwea mpaka nafasi ya 6 alama 23 baada ya mechi 17.

Katika mechi nyingine , Tz Prisons imeshinda 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji.

Geita Gold pia imetoka sare ya 1-1 na Azam FC.

Kwa matokeo hayo, Azam imesalia nafasi ya tatu ikiwa na pointi 37 katika mechi 17.

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2370, member: 572"] Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera umezidi kuwa mchungu kwa mnyama Simba baada ya kuambulia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji wao Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Simba ilifungwa 1-0 mara ya mwisho walipocheza na wakataka miwa hao bao pekee la Kagera likifungwa na Hamis Kiiza ( Diego). Katika mchezo wa leo, Deus Bukenya ndiye aliyeanza kuitanguliza Kagera Sugar katika dakika ya 15. Lakini baadae beki Henock Inonga akafanikiwa kuisawazishia Simba katika dakika ya 39. Matokeo hayo yanaifanya Simba SC iwe imetoka sare mara 5 msimu huu na inafikisha alama 38 ikiwa nafasi ya pili. Inazidiwa pointi 6 na Yanga ambao wanaongoza ligi. Kagera Sugar imekwea mpaka nafasi ya 6 alama 23 baada ya mechi 17. Katika mechi nyingine , Tz Prisons imeshinda 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji. Geita Gold pia imetoka sare ya 1-1 na Azam FC. Kwa matokeo hayo, Azam imesalia nafasi ya tatu ikiwa na pointi 37 katika mechi 17. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
SIMBA KUIHAKIKISHIA YANGA UBINGWA.
Top
Bottom