Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba kujibu Maswali yote waliyoulizwa na Raja leo dhidi ya Azam?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba baada ya kupokea kipigo kizito cha mabao 3-0 kutoka kwa Raja Casablanca Wikiendi iliyoisha,Leo watashuka dimbani kujiuliza tena dhidi ya Azam

Simba hawakuwa na kiwango bora dhidi ya Raja,hawakuwa bora kwenye eneo la kiungo eneo ambalo ni ubongo wa timu matokeo yake safu ya ulinzi ikawa inavuja, safu ya ushambuliaji ikakosa utulivu pia.

Baada ya hayo naamini mwalimu Robertinho ameyaona hayo na kuyafanyia kazi ndani ya muda mfupi,na leo dhidi ya Azam ana nafasi ya kuona kile alichokifanyia mazoezi.

Je,tutarajie Simba kulipa kisasi kwa Azam na kumalizia hasira zake za Raja,au Azam wataenda kutonesha kidonda?[ATTACH=full]1251[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3388, member: 622"] Simba baada ya kupokea kipigo kizito cha mabao 3-0 kutoka kwa Raja Casablanca Wikiendi iliyoisha,Leo watashuka dimbani kujiuliza tena dhidi ya Azam Simba hawakuwa na kiwango bora dhidi ya Raja,hawakuwa bora kwenye eneo la kiungo eneo ambalo ni ubongo wa timu matokeo yake safu ya ulinzi ikawa inavuja, safu ya ushambuliaji ikakosa utulivu pia. Baada ya hayo naamini mwalimu Robertinho ameyaona hayo na kuyafanyia kazi ndani ya muda mfupi,na leo dhidi ya Azam ana nafasi ya kuona kile alichokifanyia mazoezi. Je,tutarajie Simba kulipa kisasi kwa Azam na kumalizia hasira zake za Raja,au Azam wataenda kutonesha kidonda?[ATTACH type="full"]1251[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba kujibu Maswali yote waliyoulizwa na Raja leo dhidi ya Azam?
Top
Bottom