
Washiriki wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake, Simba Queens imetupwa nje hatua ya fainali ya michuano hiyo baada ya kufungwa bao 1-0 na mabingwa watetezi Mamelodi Sundowns.
Mchezo huo wa nusu fainali uliochezwa katika Uwanja wa Prince Heritier Moulay El Hassan ulimalizika kwa 1-0 dakika ya 76 bao hilo likifungwa na Boitumelo Joyce Rabele. na kuwapa Mamelod tiketi ya kwenda Fainali.