Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
SIMBA QUEENS YAENDELEZA UBABE KWA YANGA PRINCESS
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]228[/ATTACH]

MABINGWA watetezi, Simba Queens wameendeleza ubabe kwa watani wao, Yanga Princess baada ya ushindi wa 4-1 leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba Queens yamefungwa na Aisha Djafar dakika ya saba na 82, na Opa Clement dakika ya 54 na 72, wakati bao pekee la Yanga Princess limefungwa na Aisha Masaka kwa penalti dakika ya 76.

Kwa ushindi huo, Queens wanafikisha pointi 12 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi mbili zaidi ya Fountain Gate Princess wanaofuatia, wakati Yanga wanabaki na pointi zao saba katika nafasi ya sita baada ya timu zote kucheza mechi nne.

[QUOTE="mhariri, post: 324, member: 122"] [ATTACH type="full"]228[/ATTACH] MABINGWA watetezi, Simba Queens wameendeleza ubabe kwa watani wao, Yanga Princess baada ya ushindi wa 4-1 leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba Queens yamefungwa na Aisha Djafar dakika ya saba na 82, na Opa Clement dakika ya 54 na 72, wakati bao pekee la Yanga Princess limefungwa na Aisha Masaka kwa penalti dakika ya 76. Kwa ushindi huo, Queens wanafikisha pointi 12 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi mbili zaidi ya Fountain Gate Princess wanaofuatia, wakati Yanga wanabaki na pointi zao saba katika nafasi ya sita baada ya timu zote kucheza mechi nne. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
SIMBA QUEENS YAENDELEZA UBABE KWA YANGA PRINCESS
Top
Bottom