Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Quuen kukipiga nusu fainali
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]464[/ATTACH]

Baada ya kufika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake, wawakilishi wa Tanzania na Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Simba itakutana na bingwa mtetezi wa mashindano hayo, Mamelodi Sundowns Womens ya Afrika Kusini leo Novemba, 9, 2022.

Akizungumza Kocha Mkuu wa Simba Queens, Charles Lukula alisema kuwa ni shauku yake ya kutaka kufika fainali na kuchukua ubingwa.

“Kila timu imejipanga vizuri, tutacheza na Mamelodi, moja ya timu imara na zenye uzoefu wa kutosha lakini tunaendelea kujipanga ili tufanye vizuri na kutinga fainali,” alisema Lukula.

Ikiwa hii ndo mara ya kwanza Simba Queen kushiriki mashindano hayo ikiwa ni msimu wake wa pili huku mpinzani wao, Mamelodi akishiriki kwa mara ya pili baada ya kubeba ubingwa mwaka jana nchini Misri.

Simba Queen walikua kundi A na match yao ya wisho walikipiga na timu ya Buffalloes ambayo iliisha kwa ushindi wa 2-0 na kushika namba 2 , huku AS FAR kushika nafasi ya 1 kwenye kundi na wote kupata nafasi ya kufika nusu fainal Simba mpinzani wake akiwa ni Mamelodi Sundowns, waliowapiga TP Mazembe ya Congo goli 4-0 kwenye mchezo wa mwisho wakiwa kundi B.

[QUOTE="Brenda, post: 1707, member: 464"] [ATTACH type="full"]464[/ATTACH] Baada ya kufika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake, wawakilishi wa Tanzania na Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Simba itakutana na bingwa mtetezi wa mashindano hayo, Mamelodi Sundowns Womens ya Afrika Kusini leo Novemba, 9, 2022. Akizungumza Kocha Mkuu wa Simba Queens, Charles Lukula alisema kuwa ni shauku yake ya kutaka kufika fainali na kuchukua ubingwa. “Kila timu imejipanga vizuri, tutacheza na Mamelodi, moja ya timu imara na zenye uzoefu wa kutosha lakini tunaendelea kujipanga ili tufanye vizuri na kutinga fainali,” alisema Lukula. Ikiwa hii ndo mara ya kwanza Simba Queen kushiriki mashindano hayo ikiwa ni msimu wake wa pili huku mpinzani wao, Mamelodi akishiriki kwa mara ya pili baada ya kubeba ubingwa mwaka jana nchini Misri. Simba Queen walikua kundi A na match yao ya wisho walikipiga na timu ya Buffalloes ambayo iliisha kwa ushindi wa 2-0 na kushika namba 2 , huku AS FAR kushika nafasi ya 1 kwenye kundi na wote kupata nafasi ya kufika nusu fainal Simba mpinzani wake akiwa ni Mamelodi Sundowns, waliowapiga TP Mazembe ya Congo goli 4-0 kwenye mchezo wa mwisho wakiwa kundi B. [HEADING=1][/HEADING] [URL='https://www.mwanaspoti.co.tz/ms/soka/kagere-atuma-salamu-simba-4013748'][HEADING=2][/HEADING][/URL] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Quuen kukipiga nusu fainali
Top
Bottom