Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Chumo" data-source="post: 8492" data-attributes="member: 3226"><p>Mpira wa Tanzania ni drama, unapoiponda simba ya leo usisahau simba ya miaka 4 ago, na unapoisifia yanga ya ya leo usisahau yanga ya miaka 5 ago. So what next???, usije ukaitabiria miamba hii miwili may be umejua mpira jana. Jiulize kitu gani kiliijenga simba imara na kipi imeidhoofisha??? Kitu gani ilifanya yanga mbovu (2017-2021) na yanga ya hii leo. Jiulize Yanga ya kesho bila GSM itakuaje rejea hisia zako ulivyojisikia kuhusu sakata la MAGOMA, ungekuwa hakimu ungemuhukumu kifo, Vp kuhusu simba ya kesho bila MO??? Jibu tunalo. Mafanikio ya kudumu ya simba na yanga hayapaswi kutegemea pesa zinazotoka kwenye mifuko ya watu, kama hawatabadilika wataendelea kupokezana vijiti vya ubora kwa karne na karne au wakapotea kabisa. NB:Timu yako ikiwa kwenye ubora leo tamba uwezavyo maana ya kesho hayajulikani.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Chumo, post: 8492, member: 3226"] Mpira wa Tanzania ni drama, unapoiponda simba ya leo usisahau simba ya miaka 4 ago, na unapoisifia yanga ya ya leo usisahau yanga ya miaka 5 ago. So what next???, usije ukaitabiria miamba hii miwili may be umejua mpira jana. Jiulize kitu gani kiliijenga simba imara na kipi imeidhoofisha??? Kitu gani ilifanya yanga mbovu (2017-2021) na yanga ya hii leo. Jiulize Yanga ya kesho bila GSM itakuaje rejea hisia zako ulivyojisikia kuhusu sakata la MAGOMA, ungekuwa hakimu ungemuhukumu kifo, Vp kuhusu simba ya kesho bila MO??? Jibu tunalo. Mafanikio ya kudumu ya simba na yanga hayapaswi kutegemea pesa zinazotoka kwenye mifuko ya watu, kama hawatabadilika wataendelea kupokezana vijiti vya ubora kwa karne na karne au wakapotea kabisa. NB:Timu yako ikiwa kwenye ubora leo tamba uwezavyo maana ya kesho hayajulikani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut
Top
Bottom