Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sakho, Aucho waleta vionjo vipya Bara

KOCHA wa Kagera Sugar, Francis Baraza, amewazungumzia mastaa wa Simba na Yanga, Pape Ousmane Sakho na Khalid Aucho namna walivyonogesha utamu wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kutokana na ubunifu wa kazi zaoBaraza alimtaja Sakho wa Simba kwamba licha ya kuchelewa kuonyesha madini ya mguu wake, mechi alizocheza vizuri ameona ubunifu na akili kubwa ya kazi, aliyonayo staa huyo, huku akimtarajia kufanya makubwa zaidi.

Kwa upande wa Aucho, alimuelezea ni mtaalamu wa kusambaza pasi, zinazoisaidia timu yake kuwa na umiliki wa mpira mbele ya wapinzani wao.

“Aina ya uchezaji wa Sakho na Aucho una vitu vinavyovutia macho ya wadau, kutazama kazi zao, mfano Sakho licha ya kutoanza mechi za kwanza za msimu bado anaonyesha Simba haikukosea kumsajili, akiendelea kucheza hivyo atakuwa habari nyingine,” alisema na kuongeza;

“Kuna wachezaji wengine kama Dickson Job wa Yanga, Reliants Lusajo (Namungo), Hassan Materema (Kagera Sugar), Vitalis Mayanga (Polisi Tanzania) na Fiston Mayele (Yanga) na wenyewe wameonyesha kitu kikubwa msimu huu, ambacho kinafaa kuigwa na wengine, lengo ni kuifanya ligi kuwa tamu zaidi.”

Alisema ushindani wa ligi unavumbua vipaji vikubwa, akiwatolea mfano wazawa Job, Lusajo, Materema na Mayanga kwamba wataisaidia timu yao ya taifa kufanya vizuri.

“Napenda ushindani, ndani ya ushindani kuna burudani kali na wachezaji wanakuwa wanajitoa asilimia 100,” alisema Bara alizungumza Kagera akisema moto utawaka zaidi.

[QUOTE="Amir, post: 1018, member: 20"] [HEADING=1]Sakho, Aucho waleta vionjo vipya Bara[/HEADING] [IMG alt="sakho pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3724028/ee12d40c0e4a6139b16b006768869632/sakho-pic-data.jpg[/IMG] KOCHA wa Kagera Sugar, Francis Baraza, amewazungumzia mastaa wa Simba na Yanga, Pape Ousmane Sakho na Khalid Aucho namna walivyonogesha utamu wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kutokana na ubunifu wa kazi zaoBaraza alimtaja Sakho wa Simba kwamba licha ya kuchelewa kuonyesha madini ya mguu wake, mechi alizocheza vizuri ameona ubunifu na akili kubwa ya kazi, aliyonayo staa huyo, huku akimtarajia kufanya makubwa zaidi. Kwa upande wa Aucho, alimuelezea ni mtaalamu wa kusambaza pasi, zinazoisaidia timu yake kuwa na umiliki wa mpira mbele ya wapinzani wao. “Aina ya uchezaji wa Sakho na Aucho una vitu vinavyovutia macho ya wadau, kutazama kazi zao, mfano Sakho licha ya kutoanza mechi za kwanza za msimu bado anaonyesha Simba haikukosea kumsajili, akiendelea kucheza hivyo atakuwa habari nyingine,” alisema na kuongeza; “Kuna wachezaji wengine kama Dickson Job wa Yanga, Reliants Lusajo (Namungo), Hassan Materema (Kagera Sugar), Vitalis Mayanga (Polisi Tanzania) na Fiston Mayele (Yanga) na wenyewe wameonyesha kitu kikubwa msimu huu, ambacho kinafaa kuigwa na wengine, lengo ni kuifanya ligi kuwa tamu zaidi.” Alisema ushindani wa ligi unavumbua vipaji vikubwa, akiwatolea mfano wazawa Job, Lusajo, Materema na Mayanga kwamba wataisaidia timu yao ya taifa kufanya vizuri. “Napenda ushindani, ndani ya ushindani kuna burudani kali na wachezaji wanakuwa wanajitoa asilimia 100,” alisema Bara alizungumza Kagera akisema moto utawaka zaidi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom