Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MTU WA MPIRA: Chama anaufanya mpira wetu uonekane rahisi

UNABURUDISHWA na starehe gani kubwa? Ni mapenzi, soka au pombe? Wanadamu wanasema kila mtu ana starehe yake. Lakini hakuna starehe kubwa kwenye soka kama kumtazama Clatous Chama akicheza. Ni burudani kweli.

Kwa siku chache tu alizorejea nchini ametuonyesha yeye ni nani. Anaufanya mchezo wa soka uonekane kazi rahisi.

Wapo mashabiki wa timu pinzani waliobeza kiwango cha Chama katika mechi chache za mwanzo. Wapo walioanza kusema amekwisha lakini ukweli ni kwamba ndani ya muda mfupi ametukumbusha uwepo wake. Tazama pasi zake za mabao kwenye mechi ya Kombe la ASFC dhidi ya Dar City. Aliifanya Simba kuwa hatari. Alimfanya Kagere arejee katika makali yake. Ndani ya dakika 22 tu Simba ilikuwa ikiongoza kwa mabao manne na Chama ndiye alikuwa nyota wa mchezo.

Akafanya hivyo dhidi ya Mbeya Kwanza. Akafunga bao lake la kwanza kwenye ligi. Alifunga katika eneo ambalo hutegemei kuwa angekuwepo mtu anayecheza nafasi yake. Lakini kwa Chama kufunga haijawahi kuwa kazi ngumu. Ndani ya mwezi mmoja tu, amefunga mabao matano asisti nne za mabao.

[QUOTE="mhariri, post: 1031, member: 122"] [HEADING=1]MTU WA MPIRA: Chama anaufanya mpira wetu uonekane rahisi[/HEADING] [IMG alt="chama pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3711554/landscape_ratio16x9/1160/652/93cd58583e48ac2993e03a184e3d7c0e/wY/chama-pic.jpg[/IMG] UNABURUDISHWA na starehe gani kubwa? Ni mapenzi, soka au pombe? Wanadamu wanasema kila mtu ana starehe yake. Lakini hakuna starehe kubwa kwenye soka kama kumtazama Clatous Chama akicheza. Ni burudani kweli. Kwa siku chache tu alizorejea nchini ametuonyesha yeye ni nani. Anaufanya mchezo wa soka uonekane kazi rahisi. Wapo mashabiki wa timu pinzani waliobeza kiwango cha Chama katika mechi chache za mwanzo. Wapo walioanza kusema amekwisha lakini ukweli ni kwamba ndani ya muda mfupi ametukumbusha uwepo wake. Tazama pasi zake za mabao kwenye mechi ya Kombe la ASFC dhidi ya Dar City. Aliifanya Simba kuwa hatari. Alimfanya Kagere arejee katika makali yake. Ndani ya dakika 22 tu Simba ilikuwa ikiongoza kwa mabao manne na Chama ndiye alikuwa nyota wa mchezo. Akafanya hivyo dhidi ya Mbeya Kwanza. Akafunga bao lake la kwanza kwenye ligi. Alifunga katika eneo ambalo hutegemei kuwa angekuwepo mtu anayecheza nafasi yake. Lakini kwa Chama kufunga haijawahi kuwa kazi ngumu. Ndani ya mwezi mmoja tu, amefunga mabao matano asisti nne za mabao. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom