Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo: Wachezaji walikuwa wanashindwa kupumua

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco Martin raia wa Hispania, amefunguka kuwa wachezaji wake walikutana na hali ngumu wakiwa Niger kiasi cha kushindwa kupumua vizuri kutokana na hali mbaya ya hewa.

Pablo aliweka wazi kuwa, haikuwa kazi rahisi kwao kupata pointi moja mbele ya US Gendarmarie kwani kila kitu kwao hakikuwa rafiki, mbali na hali mbaya ya uwanja kwenye sehemu ya kuchezea, hata hali ya hewa ilikuwa tatizo.

“Wachezaji wangu wanapaswa kupongezwa sana kwa kile walichopata tukiwa Niger, kulikuwa na mazingira magumu sana, hali ya hewa ilikuwa mbaya sana kiasi cha wachezaji kupumua kwa tabu.

“Uwanja hasa eneo la kuchezea hapakuwa rafiki hata kidogo, kila kitu kilikuwa kigumu. Lakini wachezaji waliungana na kuipambania timu yao.”

Simba walipata alama moja ugenini wikiendi iliyopita na kufikisha nne kileleni mwa msimamo wa Kundi D. Februari 27 watashuka dimbani kucheza na RS Berkane ikiwa ni mchezo wao wa tatu hatua ya makundi.

[QUOTE="vuligate, post: 1042, member: 123"] [HEADING=1]Pablo: Wachezaji walikuwa wanashindwa kupumua[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/pablo.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco Martin raia wa Hispania, amefunguka kuwa wachezaji wake walikutana na hali ngumu wakiwa Niger kiasi cha kushindwa kupumua vizuri kutokana na hali mbaya ya hewa. Pablo aliweka wazi kuwa, haikuwa kazi rahisi kwao kupata pointi moja mbele ya US Gendarmarie kwani kila kitu kwao hakikuwa rafiki, mbali na hali mbaya ya uwanja kwenye sehemu ya kuchezea, hata hali ya hewa ilikuwa tatizo. “Wachezaji wangu wanapaswa kupongezwa sana kwa kile walichopata tukiwa Niger, kulikuwa na mazingira magumu sana, hali ya hewa ilikuwa mbaya sana kiasi cha wachezaji kupumua kwa tabu. “Uwanja hasa eneo la kuchezea hapakuwa rafiki hata kidogo, kila kitu kilikuwa kigumu. Lakini wachezaji waliungana na kuipambania timu yao.” Simba walipata alama moja ugenini wikiendi iliyopita na kufikisha nne kileleni mwa msimamo wa Kundi D. Februari 27 watashuka dimbani kucheza na RS Berkane ikiwa ni mchezo wao wa tatu hatua ya makundi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom