Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chama: Simba Fanyeni Hivi Kuiua Berkane

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amewaibia siri nyota wenzake wa klabu hiyo wakati wakijiandaa kucheza na RS Berkane akiwataka kuwa makini zaidi uwanjani na kucheza kwa malengo wakati wote wa mchezo huo.

Chama amesema kuwa wapinzani wao hao ni watu hatari na kwenye hatua kama hii ambapo kila timu huwa inahitaji kupata ushindi na kutimiza malengo ambayo wamejiwekea.

Chama alisema wakati wakiwa wanakwenda kucheza mechi yao dhidi ya RS Berkane wanatakiwa kuwa kuwa huru na kufurahia kila hatua ya mchezo huo kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kuweza kufanikiwa.

“Kikubwa wanatakiwa watambue kuwa wapo juu ya msimamo na wanatakiwa kufanya kila kitu hili kuhakikisha wanabakia kwenye nafasi hiyo.

“Wafurahie mchezo na kuwa huru wakati wote wa mechi kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kuweza kufanikiwa,” alisema.

Chama hatokuwepo kwenye mchezo huo dhidi ya RS Berkane kutokana na kubanwa na kanuni na mechi itachezwa Februari 27, nchini Morocco.

Chama aliitumikia Berkane kwa miezi sita, kabla ya kuvunja mkataba na kurejea tena Simba. Simba ni vinara wa kundi D wakiwa na pointi nne, huku Berkane na Asec Mimosas wakiwa na pointi tatu kila mmoja na US Gendermarie wakiwa na alama moja.

[QUOTE="Amir, post: 1056, member: 20"] [HEADING=1]Chama: Simba Fanyeni Hivi Kuiua Berkane[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/chama-2.jpg[/IMG] KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amewaibia siri nyota wenzake wa klabu hiyo wakati wakijiandaa kucheza na RS Berkane akiwataka kuwa makini zaidi uwanjani na kucheza kwa malengo wakati wote wa mchezo huo. Chama amesema kuwa wapinzani wao hao ni watu hatari na kwenye hatua kama hii ambapo kila timu huwa inahitaji kupata ushindi na kutimiza malengo ambayo wamejiwekea. Chama alisema wakati wakiwa wanakwenda kucheza mechi yao dhidi ya RS Berkane wanatakiwa kuwa kuwa huru na kufurahia kila hatua ya mchezo huo kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kuweza kufanikiwa. “Kikubwa wanatakiwa watambue kuwa wapo juu ya msimamo na wanatakiwa kufanya kila kitu hili kuhakikisha wanabakia kwenye nafasi hiyo. “Wafurahie mchezo na kuwa huru wakati wote wa mechi kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kuweza kufanikiwa,” alisema. Chama hatokuwepo kwenye mchezo huo dhidi ya RS Berkane kutokana na kubanwa na kanuni na mechi itachezwa Februari 27, nchini Morocco. Chama aliitumikia Berkane kwa miezi sita, kabla ya kuvunja mkataba na kurejea tena Simba. Simba ni vinara wa kundi D wakiwa na pointi nne, huku Berkane na Asec Mimosas wakiwa na pointi tatu kila mmoja na US Gendermarie wakiwa na alama moja. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom