Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kisa Waarabu, matajiri waongezea mkwanja Simba

AWALI uongozi wa Simba uliwatangazia wachezaji kuwapa bonasi ya dola 100,000 (Sh mil 231) katika kila mechi watakayoshinda, lakini kutokana na ugumu wa mechi ijayo dhidi ya RS Berkane ya Morocco, matajiri wa timu hiyo wameongeza mezani dola 50,000 (Sh mil 115.5) hivyo jumla mastaa hao watavuna zaidi ya Sh mil 300.

Wikiendi hii Simba itakuwa ugenini kupambana na RS Berkane ya Morocco, kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya mchezo wao wa mwisho na US Gendarmarie ya nchini Niger kumalizika kwa bao 1-1.

Chanzo chetu kutoka Simba kimeliambia Championi Jumatano kwamba, uongozi wa Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ wanadaiwa kuahidi ongezeko la dola elfu 50, kwenye bonasi ya mwanzo na kufikia dola 150,000.

“Katika siku wachezaji wamewahi kuufurahisha uongozi basi ni pamoja na juzi Jumapili baada ya kupata sare katika mchezo wetu na US Gendarmarie ya nchini Niger, huwezi kuamini sare hiyo sasa imewafanya kuongezewa dau la dola elfu 50.

“Kama watashinda katika gemu hiyo ni wazi sasa mastaa wetu watarudi na kitita cha maana, maana bonasi imeongezeka kuachana na ile ya awali ambayo wamekuwa wakipewa kila mechi ya kimataifa dola laki moja,” kilisema chanzo hicho.

Alipotafutwa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kuzungumzia ishu hii hakupatikana.

[QUOTE="Amir, post: 1057, member: 20"] [HEADING=1]Kisa Waarabu, matajiri waongezea mkwanja Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/274079798_1304409120060231_8391594303549882028_n.jpg[/IMG] AWALI uongozi wa Simba uliwatangazia wachezaji kuwapa bonasi ya dola 100,000 (Sh mil 231) katika kila mechi watakayoshinda, lakini kutokana na ugumu wa mechi ijayo dhidi ya RS Berkane ya Morocco, matajiri wa timu hiyo wameongeza mezani dola 50,000 (Sh mil 115.5) hivyo jumla mastaa hao watavuna zaidi ya Sh mil 300. Wikiendi hii Simba itakuwa ugenini kupambana na RS Berkane ya Morocco, kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya mchezo wao wa mwisho na US Gendarmarie ya nchini Niger kumalizika kwa bao 1-1. Chanzo chetu kutoka Simba kimeliambia Championi Jumatano kwamba, uongozi wa Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ wanadaiwa kuahidi ongezeko la dola elfu 50, kwenye bonasi ya mwanzo na kufikia dola 150,000. “Katika siku wachezaji wamewahi kuufurahisha uongozi basi ni pamoja na juzi Jumapili baada ya kupata sare katika mchezo wetu na US Gendarmarie ya nchini Niger, huwezi kuamini sare hiyo sasa imewafanya kuongezewa dau la dola elfu 50. “Kama watashinda katika gemu hiyo ni wazi sasa mastaa wetu watarudi na kitita cha maana, maana bonasi imeongezeka kuachana na ile ya awali ambayo wamekuwa wakipewa kila mechi ya kimataifa dola laki moja,” kilisema chanzo hicho. Alipotafutwa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kuzungumzia ishu hii hakupatikana. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom