Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mkude, Mwenda wamuwahi Mwarabu

SIMBA jana ilitua Casablanca tayari kwa safari ya kuifuata RS Berkane mjini Berkane kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku nyota wao, Jonas Mkude na Israel Mwenda wakirejea mapema kuwawahi Wamorocco hao.

Wachezaji hao walishindwa kucheza mchezo uliopita wa Kundi D dhidi ya USGN ya Niger ulioisha kwa sare ya 1-1 baada ya kuugua ghafla, lakini kwa sasa wamepona na wameanza kujifua na wenzao.

Kuumwa kwa Mkude kulifanya akosekane kabisa hata katika benchi, huku Mwenda alikaa tu kwa vile kulikuwa na idadi ndogo ya wachezaji wa akiba na Kocha Pablo Franco alisema ilikuwa ngumu kwenye maandalizi ya mchezo huo ikiwemo kuwakosa wachezaji wake kutokana na kuumwa.

“Ukiangalia katika benchi la akiba kulikuwa na makipa wawili, Ally Salim na Benno Kakolanya, jambo ambalo hata Mwenda alikaa kutimiza idadi ya wachezaji ila hakuwa fiti asilimia zote,” alisema Pablo.

Hata hivyo, Daktari wa Simba, Edwin Kagabo alisema baada ya kuwapatia matibabu wachezaji hao wanaendelea vizuri na baada ya kufika Morocco watafanya mazoezi pamoja na wenzao.

“Mkude na Mwenda wote wapo sawa kiafya tofauti na ilivyokuwa siku moja kabla ya kucheza na USGN, kuhusu kama watatumika kwenye mechi ya RS Berkane hilo ni la kocha lakini wapo fiti sasa,” alisema Edwin.

[QUOTE="mhariri, post: 1071, member: 122"] [HEADING=1]Mkude, Mwenda wamuwahi Mwarabu[/HEADING] [IMG alt="Mkude PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3729066/landscape_ratio16x9/1160/652/39f58e53cc6e0d56d185ac99422ebb9f/KK/mkude-pic.jpg[/IMG] SIMBA jana ilitua Casablanca tayari kwa safari ya kuifuata RS Berkane mjini Berkane kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku nyota wao, Jonas Mkude na Israel Mwenda wakirejea mapema kuwawahi Wamorocco hao. Wachezaji hao walishindwa kucheza mchezo uliopita wa Kundi D dhidi ya USGN ya Niger ulioisha kwa sare ya 1-1 baada ya kuugua ghafla, lakini kwa sasa wamepona na wameanza kujifua na wenzao. Kuumwa kwa Mkude kulifanya akosekane kabisa hata katika benchi, huku Mwenda alikaa tu kwa vile kulikuwa na idadi ndogo ya wachezaji wa akiba na Kocha Pablo Franco alisema ilikuwa ngumu kwenye maandalizi ya mchezo huo ikiwemo kuwakosa wachezaji wake kutokana na kuumwa. “Ukiangalia katika benchi la akiba kulikuwa na makipa wawili, Ally Salim na Benno Kakolanya, jambo ambalo hata Mwenda alikaa kutimiza idadi ya wachezaji ila hakuwa fiti asilimia zote,” alisema Pablo. Hata hivyo, Daktari wa Simba, Edwin Kagabo alisema baada ya kuwapatia matibabu wachezaji hao wanaendelea vizuri na baada ya kufika Morocco watafanya mazoezi pamoja na wenzao. “Mkude na Mwenda wote wapo sawa kiafya tofauti na ilivyokuwa siku moja kabla ya kucheza na USGN, kuhusu kama watatumika kwenye mechi ya RS Berkane hilo ni la kocha lakini wapo fiti sasa,” alisema Edwin. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom