Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba kutua Berkane leo

KIKOSI cha Simba kinatarajia kuondoka Jijini Casablanca, Morocco usiku wa leo Februari 25 kuelekea mji wa Berkane ambako Jumapili wanatarajiwa kumenyana na timu ya RS Berkane katika mchezo wa kombe la Shirikisho la Afrika.

Simba itashuka uwanjani siku hiyo ikiwa na akiba ya pointi nne kibindoni baada ya kushinda mchezo dhidi ya ASEC Mimosas kwa mabao 3-1 huku wakitoka sare ya bao 1-1 na US Gendarmerie.

Meneja wa simba, Patric Rweyemamu amesema kikosi chao baada ya mazoezi ya jioni kitaondoka kwenda Berkane tayari kwa mchezo wao wa tatu wa makundi.

"Kikosi chetu kinatarajia kuondoka usiku wa leo, na kesho kitafanya mazoezi katika uwanja ambao tutacheza mchezo wetu huo muhimu katika michuano hii," anasema Rweyemamu.

Aidha Rweyemamu amesema kikosi chao kipo fiti na salama kwa ajili ya mchezo huo na kila mchezaji ana morali ya hali ya juu kuhakikisha timu inapambana kupata matokeo.

Rweyemamu amesema, wachezaji wao wako katika hali nzuri isipokuwa Jonas Mkude ambaye ataendelea kukosekana kutokana na afya yake kutotengamaa vizuri kwa sasa.

Amesema kikosi chao chenye wachezaji 23 mmoja pekee Clatous Chama ambaye walienda naye kwa ajili ya uwenyeji wake na timu hiyo hayuko katika mipango ya mwalimu kutokana na kusajiliwa wakati akiwa amecheza michuano hiyo msimu huu.

[QUOTE="Amir, post: 1080, member: 20"] [HEADING=1]Simba kutua Berkane leo[IMG alt="BERKANE PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3729580/2589ba2ac25b67863532d5df9fe91185/berkane-pic-data.jpg[/IMG][/HEADING] KIKOSI cha Simba kinatarajia kuondoka Jijini Casablanca, Morocco usiku wa leo Februari 25 kuelekea mji wa Berkane ambako Jumapili wanatarajiwa kumenyana na timu ya RS Berkane katika mchezo wa kombe la Shirikisho la Afrika. Simba itashuka uwanjani siku hiyo ikiwa na akiba ya pointi nne kibindoni baada ya kushinda mchezo dhidi ya ASEC Mimosas kwa mabao 3-1 huku wakitoka sare ya bao 1-1 na US Gendarmerie. Meneja wa simba, Patric Rweyemamu amesema kikosi chao baada ya mazoezi ya jioni kitaondoka kwenda Berkane tayari kwa mchezo wao wa tatu wa makundi. "Kikosi chetu kinatarajia kuondoka usiku wa leo, na kesho kitafanya mazoezi katika uwanja ambao tutacheza mchezo wetu huo muhimu katika michuano hii," anasema Rweyemamu. Aidha Rweyemamu amesema kikosi chao kipo fiti na salama kwa ajili ya mchezo huo na kila mchezaji ana morali ya hali ya juu kuhakikisha timu inapambana kupata matokeo. Rweyemamu amesema, wachezaji wao wako katika hali nzuri isipokuwa Jonas Mkude ambaye ataendelea kukosekana kutokana na afya yake kutotengamaa vizuri kwa sasa. Amesema kikosi chao chenye wachezaji 23 mmoja pekee Clatous Chama ambaye walienda naye kwa ajili ya uwenyeji wake na timu hiyo hayuko katika mipango ya mwalimu kutokana na kusajiliwa wakati akiwa amecheza michuano hiyo msimu huu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom