Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Lwanga Afungua Mdomo Simba

BAADA ya kukaa nje kwa muda mrefu bila kucheza ndani ya Simba, kiungo wa timu hiyo, Taddeo Lwanga, amefungua mdomo kwa mara ya kwanza akidai sasa yupo fiti.

Lwanga alisema alikuwa na muda mrefu wa kuuguza majeraha yake, hivyo kwa sasa kila kitu kipo sawa na muda wowote ataingia uwanjani kuitumikia Simba.

Akizungumzia maendeleo yake akiwa Morocco alikokwenda na wenzake kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane, Lwanga alisema:

“Nilipata majeraha mwezi Oktoba, mwaka jana katika mchezo dhidi Jwaneng Galaxy.

“Jeraha lilikuwa kubwa, namshukuru Mungu nimepona na nipo tayari kurudi uwanjani na mashabiki watarajie kuniona hivi karibuni hasa kwenye raundi ya pili.”

Urejeo wa Lwanga ndani ya kikosi cha Simba, unazidi kuongeza uimara wa timu hiyo hasa kwenye safu ya kiungo. Simba sasa watakuwa na machaguo ya nani wa kuanza kati ya Jonas Mkude au Lwanga kucheza kama namba sita kwenye mzunguko wa kwanza.

[QUOTE="Amir, post: 1105, member: 20"] [HEADING=1]Lwanga Afungua Mdomo Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/kwanga.webp[/IMG] BAADA ya kukaa nje kwa muda mrefu bila kucheza ndani ya Simba, kiungo wa timu hiyo, Taddeo Lwanga, amefungua mdomo kwa mara ya kwanza akidai sasa yupo fiti. Lwanga alisema alikuwa na muda mrefu wa kuuguza majeraha yake, hivyo kwa sasa kila kitu kipo sawa na muda wowote ataingia uwanjani kuitumikia Simba. Akizungumzia maendeleo yake akiwa Morocco alikokwenda na wenzake kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane, Lwanga alisema: “Nilipata majeraha mwezi Oktoba, mwaka jana katika mchezo dhidi Jwaneng Galaxy. “Jeraha lilikuwa kubwa, namshukuru Mungu nimepona na nipo tayari kurudi uwanjani na mashabiki watarajie kuniona hivi karibuni hasa kwenye raundi ya pili.” Urejeo wa Lwanga ndani ya kikosi cha Simba, unazidi kuongeza uimara wa timu hiyo hasa kwenye safu ya kiungo. Simba sasa watakuwa na machaguo ya nani wa kuanza kati ya Jonas Mkude au Lwanga kucheza kama namba sita kwenye mzunguko wa kwanza. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom