Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Ataja Mechi Mbili za Kutinga Robo Fainali CAF

MARA baada y kufungwa dhidi ya RS Berkane ya nchini Morocco, Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, amesema ili wafuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lazima washinde michezo miwili ya nyumbani.

Simba wanautumia Uwanja wa Mkapa uliopo Dar kama uwanja wao wa nyumbani katika michuano hiyo wakiwa hatua ya makundi ambapo mechi ya kwanza kucheza hapo waliifunga ASEC Mimosas mabao 3-1.

Ikiwa tayari imecheza mechi tatu, moja nyumbani na mbili ugenini, imebakiwa na tatu zikiwa mbili nyumbani dhidi ya US Gendarmarie na RS Berkane, huku moja ugenini itakuwa dhidi ya ASEC Mimosas.

Pablo amesema katika mechi hizo tatu, anahitaji kushinda mbili za nyumbani na sare ugenini kujihakikishia nafasi ya kwenda robo fainali.

“Tumekubali kupoteza ugenini, lakini katika michezo mitatu tumekuwa timu pekee ambayo imepata pointi ugenini, tuna michezo miwili nyumbani.

“Malengo yetu ni kushinda michezo yote mwili ya nyumbani na kutafuta pointi moja ugenini dhidi ya ASEC Mimosas ambao tuliwafunga nyumbani,” alisema Pablo.

[QUOTE="mhariri, post: 1108, member: 122"] [HEADING=1]Pablo Ataja Mechi Mbili za Kutinga Robo Fainali CAF[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/simba-7-1.jpg[/IMG] MARA baada y kufungwa dhidi ya RS Berkane ya nchini Morocco, Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, amesema ili wafuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lazima washinde michezo miwili ya nyumbani. Simba wanautumia Uwanja wa Mkapa uliopo Dar kama uwanja wao wa nyumbani katika michuano hiyo wakiwa hatua ya makundi ambapo mechi ya kwanza kucheza hapo waliifunga ASEC Mimosas mabao 3-1. Ikiwa tayari imecheza mechi tatu, moja nyumbani na mbili ugenini, imebakiwa na tatu zikiwa mbili nyumbani dhidi ya US Gendarmarie na RS Berkane, huku moja ugenini itakuwa dhidi ya ASEC Mimosas. Pablo amesema katika mechi hizo tatu, anahitaji kushinda mbili za nyumbani na sare ugenini kujihakikishia nafasi ya kwenda robo fainali. “Tumekubali kupoteza ugenini, lakini katika michezo mitatu tumekuwa timu pekee ambayo imepata pointi ugenini, tuna michezo miwili nyumbani. “Malengo yetu ni kushinda michezo yote mwili ya nyumbani na kutafuta pointi moja ugenini dhidi ya ASEC Mimosas ambao tuliwafunga nyumbani,” alisema Pablo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom