Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba yabadili mbinu, yarudi kivingine CAF

KUFUNGWA kunauma, ukitaka kuamini hilo ni namna mastaa wa Simba walivyotua kinyonge Uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, baada ya kutoka kufungwa na RS Berkane ya Morocco.

Kipigo cha mabao 2-0 ambacho Simba imekumbana nacho huko Morocco ni cha kwanza kwao kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Hadi sasa Simba imecheza mechi tatu kwenye hatua hiyo na kuvuna pointi nne, baada ya kuifunga ASEC ya Ivory Coast kwa mabao 3-1 na kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Gendarmerie huko Niger.

Baada ya kutua leo Jumanne, Machi Mosi, 2022 alianza kutoka kiungo Jonas Mkude akiwa amevaa barakoa na kofia iliyoziba uso, zilipita dakika takribani tano akatoka kipa Beno Kakolanya, zikapita dakika tano nyingine akafuata Erasto Nyoni.

Baada ya hapo wakatoka wachezaji wengine kwa pamoja, huku sura zao zikiwa hazina furaha, jambo ambalo baadhi ya mashabiki wao waliishia kuwashangaa.

Mwanaspoti iliwashuhudia baadhi ya mashabiki wakishangazwa na baadhi ya wachezaji ambao walificha sura zao wakati wanawasili uwanja wa ndege, jambo ambalo baadhi yao liliwanyima uhuru wa kuwafuata kupiga nao picha.

Ndipo mkuu wa kitengo chao cha Habari, Ahmed Ally aliposema hawana wasiwasi kupoteza mbele ya RS Berkane, kwasababu sifa ya kundi lao D kila timu imeshinda kwao.

"Kila timu imeshinda kwao, tunasubiri kushinda kwetu, safari ilikuwa ndefu tunashukuru tumefika salama, wachezaji wamechoka watapata muda wa kupumzika tayari kujiandaa dhidi ya Biashara United." amesema.

[QUOTE="mhariri, post: 1127, member: 122"] [HEADING=1]Simba yabadili mbinu, yarudi kivingine CAF[/HEADING] [IMG alt="Simba1 PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3733706/landscape_ratio16x9/1160/652/8343bbd78860eaa1775d994a0ea3a948/lp/simba1-pic.jpg[/IMG] KUFUNGWA kunauma, ukitaka kuamini hilo ni namna mastaa wa Simba walivyotua kinyonge Uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, baada ya kutoka kufungwa na RS Berkane ya Morocco. Kipigo cha mabao 2-0 ambacho Simba imekumbana nacho huko Morocco ni cha kwanza kwao kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Hadi sasa Simba imecheza mechi tatu kwenye hatua hiyo na kuvuna pointi nne, baada ya kuifunga ASEC ya Ivory Coast kwa mabao 3-1 na kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Gendarmerie huko Niger. Baada ya kutua leo Jumanne, Machi Mosi, 2022 alianza kutoka kiungo Jonas Mkude akiwa amevaa barakoa na kofia iliyoziba uso, zilipita dakika takribani tano akatoka kipa Beno Kakolanya, zikapita dakika tano nyingine akafuata Erasto Nyoni. Baada ya hapo wakatoka wachezaji wengine kwa pamoja, huku sura zao zikiwa hazina furaha, jambo ambalo baadhi ya mashabiki wao waliishia kuwashangaa. Mwanaspoti iliwashuhudia baadhi ya mashabiki wakishangazwa na baadhi ya wachezaji ambao walificha sura zao wakati wanawasili uwanja wa ndege, jambo ambalo baadhi yao liliwanyima uhuru wa kuwafuata kupiga nao picha. Ndipo mkuu wa kitengo chao cha Habari, Ahmed Ally aliposema hawana wasiwasi kupoteza mbele ya RS Berkane, kwasababu sifa ya kundi lao D kila timu imeshinda kwao. "Kila timu imeshinda kwao, tunasubiri kushinda kwetu, safari ilikuwa ndefu tunashukuru tumefika salama, wachezaji wamechoka watapata muda wa kupumzika tayari kujiandaa dhidi ya Biashara United." amesema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom