Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba wana jambo lao CAF

NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema bado wana nafasi ya kufanya makubwa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, licha ya kuchapwa na RS Berkane ya nchini Morocco.

Simba imecheza mechi tatu za CAF katika kundi lao D ambazo ni dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast, ikashinda 3-1, Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku mechi mbili ikicheza ugenini dhidi ya USGN mchezo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 na ilichapwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane.

Jambo ambalo Bocco ameona kwenye kundi lao wana nafasi ya kusonga mbele kwa kuitumia vyema michezo miwili watakayocheza nchini.

"Tunashukuru angalau tumeambulia pointi moja ugenini, hivyo tumejipanga kuhakikisha tunashinda mechi za nyumbani ili tusonge mbele kwenye michuano hiyo." amesema Bocco na kuongeza;

"Ni michuano yenye ushindani, ila tupo kwa ajili ya kuipambania timu yetu kuandika rekodi ya aina yake kwenye michuano hii.

Mbali na kuzungumzia michuano hiyo, Bocco amesema kwa sasa wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopo mbele yao, wanacheza dhidi ya Biashara United, Alhamisi ya wiki hii.

"Hatuna muda wa kupoteza, akili zetu zimehamia kuzipambania pointi tatu za kwenye Ligi Kuu, baada ya kutoka nao suluhu kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza." amesema.

[QUOTE="mhariri, post: 1128, member: 122"] [HEADING=1]Simba wana jambo lao CAF[/HEADING] [IMG alt="Simba PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3733684/landscape_ratio16x9/1160/652/da9c21666abd41582dad5088af0aa83e/DB/simba-pic.jpg[/IMG] NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema bado wana nafasi ya kufanya makubwa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, licha ya kuchapwa na RS Berkane ya nchini Morocco. Simba imecheza mechi tatu za CAF katika kundi lao D ambazo ni dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast, ikashinda 3-1, Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku mechi mbili ikicheza ugenini dhidi ya USGN mchezo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 na ilichapwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane. Jambo ambalo Bocco ameona kwenye kundi lao wana nafasi ya kusonga mbele kwa kuitumia vyema michezo miwili watakayocheza nchini. "Tunashukuru angalau tumeambulia pointi moja ugenini, hivyo tumejipanga kuhakikisha tunashinda mechi za nyumbani ili tusonge mbele kwenye michuano hiyo." amesema Bocco na kuongeza; "Ni michuano yenye ushindani, ila tupo kwa ajili ya kuipambania timu yetu kuandika rekodi ya aina yake kwenye michuano hii. Mbali na kuzungumzia michuano hiyo, Bocco amesema kwa sasa wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopo mbele yao, wanacheza dhidi ya Biashara United, Alhamisi ya wiki hii. "Hatuna muda wa kupoteza, akili zetu zimehamia kuzipambania pointi tatu za kwenye Ligi Kuu, baada ya kutoka nao suluhu kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza." amesema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom