Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Atangaza saa 48 za Hatari Simba

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Mhispania, Pablo Franco, ametangaza siku mbili sawa na saa 48 za vijana wake kupata ushindi katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara.

Hiyo ni baada ya juzi Jumanne kurejea nchini wakitokea Morocco kuvaana na RS Berkane katika mchezo wa tatu wa Kombe la Shirikisho Afrika ambao ulimalizika kwa kufungwa mabao 2-0.

Timu hiyo mara baada ya kurejea nchini, moja kwa moja kikosi hicho kiliingia kambini tayari kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Biashara United utakaopigwa kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Akizungumza na Spoti Xtra, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, alisema Kocha Pablo amepanga kuzitumia

vema siku mbili ambazo ni jana Jumatano na leo Alhamisi kwa ajili ya kukiandaa kikosi chake ili kuhakikisha wanapata matokeo mazuri.

Ally alisema mchezo huo ni muhimu kwao kupata ushindi yatakayorejesha hali ya kujiamini na morali wakielekea katika michezo yao ya Shirikisho dhidi ya Berkane, US Gendarmarie watakayocheza Uwanja wa Mkapa, sambamba na wa ugenini dhidi ya ASEC Mimosas.

“Tumetoka kupoteza ugenini dhidi ya Berkane, hii michuano mikubwa Afrika ndivyo inavyokuwa, kila timu inashinda nyumbani kwake, zamu yetu inakuja na sisi tutashinda nyumbani kwetu.

“Kiukweli safari ilikuwa ndefu, tunashukuru tumerejea salama nchini, wachezaji wamechoka watapata muda wa kupumzika tayari kujiandaa dhidi ya Biashara.

“Kocha amepanga kutumia siku mbili Jumatano na Alhamisi kwa ajili ya kukiandaa kiosi chake vema huku akiwapa muda mzuri wa kupumzika kwa ajili ya kutoa uchovu walioupata tayari kwa ajili ya michezo ijayo ya ligi ukiwemo huu unaofuatia dhidi ya Biashara,” alisema Ally.

[QUOTE="Amir, post: 1142, member: 20"] [HEADING=1]Pablo Atangaza saa 48 za Hatari Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/SIMBA-1.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba SC, Mhispania, Pablo Franco, ametangaza siku mbili sawa na saa 48 za vijana wake kupata ushindi katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara. Hiyo ni baada ya juzi Jumanne kurejea nchini wakitokea Morocco kuvaana na RS Berkane katika mchezo wa tatu wa Kombe la Shirikisho Afrika ambao ulimalizika kwa kufungwa mabao 2-0. Timu hiyo mara baada ya kurejea nchini, moja kwa moja kikosi hicho kiliingia kambini tayari kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Biashara United utakaopigwa kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/SIMBA-2.jpg[/IMG] Akizungumza na Spoti Xtra, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, alisema Kocha Pablo amepanga kuzitumia vema siku mbili ambazo ni jana Jumatano na leo Alhamisi kwa ajili ya kukiandaa kikosi chake ili kuhakikisha wanapata matokeo mazuri. Ally alisema mchezo huo ni muhimu kwao kupata ushindi yatakayorejesha hali ya kujiamini na morali wakielekea katika michezo yao ya Shirikisho dhidi ya Berkane, US Gendarmarie watakayocheza Uwanja wa Mkapa, sambamba na wa ugenini dhidi ya ASEC Mimosas. “Tumetoka kupoteza ugenini dhidi ya Berkane, hii michuano mikubwa Afrika ndivyo inavyokuwa, kila timu inashinda nyumbani kwake, zamu yetu inakuja na sisi tutashinda nyumbani kwetu. “Kiukweli safari ilikuwa ndefu, tunashukuru tumerejea salama nchini, wachezaji wamechoka watapata muda wa kupumzika tayari kujiandaa dhidi ya Biashara. “Kocha amepanga kutumia siku mbili Jumatano na Alhamisi kwa ajili ya kukiandaa kiosi chake vema huku akiwapa muda mzuri wa kupumzika kwa ajili ya kutoa uchovu walioupata tayari kwa ajili ya michezo ijayo ya ligi ukiwemo huu unaofuatia dhidi ya Biashara,” alisema Ally. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom