Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo kufteka watatu Simba.

KIKOSI cha Simba hapo jana kiliwasili salama Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, huku Kocha Mkuu, Pablo Franco akinoa panga kabla ya kufyeka vichwa vitatu ili kupisha majembe matatu ya maana yatue Msimbazi.

Simba itakuwa wageni wa Kagera Sugar keshokutwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba na Pablo akitaka kuendeleza rekodi tamu tangu ajiunge na timu hiyo mwezi uliopita kuchukua nafasi ya Didier Gomes aliyetimuliwa baada ya Simba kung’olewa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wakati kikosi kikiwa na mzuka baada ya juzi kuing’oa JKT Tanzania katika Kombe la Shirikisho (ASFC) kwa bao 1-0, Pablo amewasilisha ripoti kwa mabosi akiainisha wachezaji wanaotakiwa kutemwa na kuletwa majembe mapya matatu.

Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema aliwasilisha ripoti hiyo akiweka bayana alichokiona tangu alipotua, huku akitaja majina ya kufyekwa na vitu vinavyotakiwa kuboreshwa ikiwamo wachezaji wapya watatu ambao ni wakali kuliko waliopo kwa ajili ya michuano ya ndani na ya kimataifa.

Inaelezwa kuwa, huenda Simba ikaachana na wachezaji watatu wa kigeni wanaoweza kutolewa kwa mkopo ili nafasi zijazwe na majembe watatu wanaotakiwa, huku wanaotajwa kukalia kuti kavu ni pamoja na beki wa kati Pascal Wawa, Duncan Nyoni na Pape Ousmane Sakho.

Simba imetinga makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing’oa Red Arrows ya Zambia na Kocha Pablo anataka kuhakikisha inafika mbali zaidi kuliko msimu uliopita katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilipoishia ya robo fainali.

Taarifa zaidi zinasema Pablo katika usajili wa dirisha dogo lililofunguliwa jana ametaka kiungo mshambuliaji (namba 8) mwenye uwezo zaidi wa Sadio Kanoute anayecheza nafasi hiyo mara kwa mara.

Pia amependekeza washambuliaji wa kati watakaocheza pacha yaani namba 9 na 10 wenye uwezo mkubwa wa kutupia nyavuni kuliko Meddie Kagere, John Bocco na Chriss Mugalu.

Kwa mujibu wa chanzo ndani ya klabu hiyo, Pablo katika kuhakikisha analitumia vyema dirisha hili la usajili, amewaelekeza mabosi wake kuwa hakuna mchezaji mpya atakayesajiliwa bila kutoa maoni yake.

Inaelezwa mabosi wa Simba wameanza kushughulikia ripoti hiyo na taarifa zilizonaswa na Mwanaspoti nyota wawili toka Zambia wameanza kufuatiliwa.

Pablo aliwaelekeza mabosi wake anahitaji wachezaji wapya ambao watakuwa na ruhusa ya kucheza mashindano ya ndani na Kombe la Shirikisho Afrika ili kufanya vizuri na kufikia malengo ya timu kucheza nusu fainali ya michuano hiyo.

[QUOTE="vuligate, post: 117, member: 123"] [B]Pablo kufteka watatu Simba.[/B] KIKOSI cha Simba hapo jana kiliwasili salama Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, huku Kocha Mkuu, Pablo Franco akinoa panga kabla ya kufyeka vichwa vitatu ili kupisha majembe matatu ya maana yatue Msimbazi. Simba itakuwa wageni wa Kagera Sugar keshokutwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba na Pablo akitaka kuendeleza rekodi tamu tangu ajiunge na timu hiyo mwezi uliopita kuchukua nafasi ya Didier Gomes aliyetimuliwa baada ya Simba kung’olewa Ligi ya Mabingwa Afrika. Wakati kikosi kikiwa na mzuka baada ya juzi kuing’oa JKT Tanzania katika Kombe la Shirikisho (ASFC) kwa bao 1-0, Pablo amewasilisha ripoti kwa mabosi akiainisha wachezaji wanaotakiwa kutemwa na kuletwa majembe mapya matatu. Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema aliwasilisha ripoti hiyo akiweka bayana alichokiona tangu alipotua, huku akitaja majina ya kufyekwa na vitu vinavyotakiwa kuboreshwa ikiwamo wachezaji wapya watatu ambao ni wakali kuliko waliopo kwa ajili ya michuano ya ndani na ya kimataifa. Inaelezwa kuwa, huenda Simba ikaachana na wachezaji watatu wa kigeni wanaoweza kutolewa kwa mkopo ili nafasi zijazwe na majembe watatu wanaotakiwa, huku wanaotajwa kukalia kuti kavu ni pamoja na beki wa kati Pascal Wawa, Duncan Nyoni na Pape Ousmane Sakho. Simba imetinga makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing’oa Red Arrows ya Zambia na Kocha Pablo anataka kuhakikisha inafika mbali zaidi kuliko msimu uliopita katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilipoishia ya robo fainali. Taarifa zaidi zinasema Pablo katika usajili wa dirisha dogo lililofunguliwa jana ametaka kiungo mshambuliaji (namba 8) mwenye uwezo zaidi wa Sadio Kanoute anayecheza nafasi hiyo mara kwa mara. Pia amependekeza washambuliaji wa kati watakaocheza pacha yaani namba 9 na 10 wenye uwezo mkubwa wa kutupia nyavuni kuliko Meddie Kagere, John Bocco na Chriss Mugalu. Kwa mujibu wa chanzo ndani ya klabu hiyo, Pablo katika kuhakikisha analitumia vyema dirisha hili la usajili, amewaelekeza mabosi wake kuwa hakuna mchezaji mpya atakayesajiliwa bila kutoa maoni yake. Inaelezwa mabosi wa Simba wameanza kushughulikia ripoti hiyo na taarifa zilizonaswa na Mwanaspoti nyota wawili toka Zambia wameanza kufuatiliwa. Pablo aliwaelekeza mabosi wake anahitaji wachezaji wapya ambao watakuwa na ruhusa ya kucheza mashindano ya ndani na Kombe la Shirikisho Afrika ili kufanya vizuri na kufikia malengo ya timu kucheza nusu fainali ya michuano hiyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom