Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Straika Simba Atimkia Uturuki

STRAIKA na kinara wa mabao wa Simba Queens, Opah Clement, usiku Machi 4 alipaa kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kujiunga na timu ya Yikatel Kayseri inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini humo.

Meneja wa kikosi hicho, Selemani Makanya, amelithibitishia Championi Jumamosi, juu ya straika huyo kuondoka kikosini humo baada ya Waturuki hao kutuma barua ya kumhitaji.

“Ni kweli Yikatel Kayseri iliwasilisha barua ya kuhitaji huduma ya Opah Clement na ameelekea nchini uturuki kujiunga nao.”

Opah ndiye kinara wa mabao ndani ya Simba Queens kwa msimu huu akifunga mabao 19, pia akiiacha timu hiyo ikiongoza kwenye msimamo wa ligi kuu ikiwa na pointi 33.

[QUOTE="vuligate, post: 1187, member: 123"] [HEADING=1]Straika Simba Atimkia Uturuki[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/176670646_543419086644680_1278133473838448039_n.jpg[/IMG] STRAIKA na kinara wa mabao wa Simba Queens, Opah Clement, usiku Machi 4 alipaa kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kujiunga na timu ya Yikatel Kayseri inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini humo. Meneja wa kikosi hicho, Selemani Makanya, amelithibitishia Championi Jumamosi, juu ya straika huyo kuondoka kikosini humo baada ya Waturuki hao kutuma barua ya kumhitaji. “Ni kweli Yikatel Kayseri iliwasilisha barua ya kuhitaji huduma ya Opah Clement na ameelekea nchini uturuki kujiunga nao.” Opah ndiye kinara wa mabao ndani ya Simba Queens kwa msimu huu akifunga mabao 19, pia akiiacha timu hiyo ikiongoza kwenye msimamo wa ligi kuu ikiwa na pointi 33. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom