Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pacha Wa Chama Ampa Mzuka Pablo Simba

PABLO Franco, Kocha wa Simba amefunguka kuwa kurejea kwa viungo wake Rally Bwalya na Mzamiru Yassin kumeongeza nguvu na ari ya kufanya vizuri zaidi katika ratiba yao ngumu.

Timu hiyo itacheza mechi tatu mfululizo ndani ya siku 10, ambapo Ijumaa walianza ratiba hiyo kwa kucheza na Biashara United kisha dhidi ya Dodoma Jiji Machi 7, na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane Machi 17.

Bwalya ambaye amekuwa akitumika kucheza pacha kwenye kiungo cha timu hiyo na Clatous Chama hakuwepo katika timu hiyo kutokana na matatizo ya kifamilia.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Pablo alisema: “Tumekuwa na ratiba ya michezo mitatu migumu na muhimu dhidi ya Biashara United, Dodoma Jiji na RS Berkane, kwa kuwa michezo hii ni ya mfululizo, tunahitaji kuwa na kikosi chetu kamili na wachezaji wote muhimu.

“Nafurahi kuona tayari Mzamiru na Bwalya wakirejea kujiunga na wenzao baada ya kushindwa kusafiri nasi kwenye Kombe la Shirikisho, katika kipindi ambacho tunakabiliwa na majeruhi kurejea kwao ni wazi kumetuongezea nguvu ya kufanya vizuri zaidi.

[QUOTE="Amir, post: 1188, member: 20"] [HEADING=1]Pacha Wa Chama Ampa Mzuka Pablo Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/chama.jpg[/IMG] PABLO Franco, Kocha wa Simba amefunguka kuwa kurejea kwa viungo wake Rally Bwalya na Mzamiru Yassin kumeongeza nguvu na ari ya kufanya vizuri zaidi katika ratiba yao ngumu. Timu hiyo itacheza mechi tatu mfululizo ndani ya siku 10, ambapo Ijumaa walianza ratiba hiyo kwa kucheza na Biashara United kisha dhidi ya Dodoma Jiji Machi 7, na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane Machi 17. Bwalya ambaye amekuwa akitumika kucheza pacha kwenye kiungo cha timu hiyo na Clatous Chama hakuwepo katika timu hiyo kutokana na matatizo ya kifamilia. Akizungumza na Championi Jumamosi, Pablo alisema: “Tumekuwa na ratiba ya michezo mitatu migumu na muhimu dhidi ya Biashara United, Dodoma Jiji na RS Berkane, kwa kuwa michezo hii ni ya mfululizo, tunahitaji kuwa na kikosi chetu kamili na wachezaji wote muhimu. “Nafurahi kuona tayari Mzamiru na Bwalya wakirejea kujiunga na wenzao baada ya kushindwa kusafiri nasi kwenye Kombe la Shirikisho, katika kipindi ambacho tunakabiliwa na majeruhi kurejea kwao ni wazi kumetuongezea nguvu ya kufanya vizuri zaidi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom